Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,453
- 2,206
Habari za jioni ndugu zangu baada ya vyuma kuendelea kukaza nmeona nikimbie mji kidogo nijikite kwenye kilimo cha tikiti maji ambacho nimeona kitanitoa maana ni zao la muda mfupi miezi mi 3 tu,nimeanza na heka 2 nishakodi shamba laki 2 kwa heka mbili nmejaribu kutafta mbegu nimeelekezwa Zebra f1 ,juliana f1,sukari f1.pato f1,arashani f1 sugar king f1 naomba kujua kwenye izi mbegu ipi bora zaid