Wadau, wataalamu na wakulima wa korosho, bila shaka mmesikia ugonjwa wa kunyauka kwa miti ya mikorosho ulioikumba Mkuranga. Naomba kuuliza, je ugonjwa huu unaweza kuenea mpaka Kilwa, Lindi na Mtwara.
Kama inawezekana je, Wizara ya Kilimo, bodi ya korosho pamoja na maafisa kilimo waliopo maeneo yenye miti ya mikorosho, wamejipangaje kuhusu ugonjwa huu? Kwa sababu korosho ni zao la biashara linaloliingizia taifa na wakulima kipato chenye tija.