Biashara ya makopo ya plastiki

Biashara ya makopo ya plastiki

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,649
Reaction score
3,817
Wadau ningependa kujua kuhusu mchakato wa hii biashara ya kukusanya makopo ya plastiki na kuyayeyusha kisha kuuza viwandani ikoje.

Mashine ya kuyeyusha inapatikana wapi na kwa kiasi gani?

Ukishayeyusha yale makopo kilo unaweza kuuza kwa shilingi ngapi?

Na unahitaji kitu gani kingine ukiacha mashine

Pia kama kuna changamoto zozote ningependa kujuzwa pia.

Karibuni.
 
hv ni kwel jf yoote hii hakuna anaejua kuhusu hii biashara ama??!
 
au uzi umejificha:what::what::what:
 
acha 2 mdau,,yan nasubir hiz taarifa toka juzi ila naona jii
 
jaribu kutafuta mwenyewe kwenye google. ukisubiri kila kitu kupewa na watu vingine ni vigeni kwa wachangiaji
 
Nadhani ina laana maana ishu ya kuokota makopo mpk yafike tani kadhaa si mchezo
 
Back
Top Bottom