Ulimaji wa zao la vitunguu

Ulimaji wa zao la vitunguu

abdukarim

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Posts
476
Reaction score
593
Naamini mungu ni mwema anazidi kutupigania na hali zetu. Waungwana nimefikiria na kupenda kulima zao la vitunguu but sna ujuzi wowote.
Nataka kufaham haya :
# Namna ya ulimaji
# Maeneo yanayokubali zao hill.
# Vinavyo htajika katka kuandaa m. mpaka kuvuna
# Gharama zake zote akisi cha eka
moja mpaka unavuna
[HASHTAG]#Changamoto[/HASHTAG] zake
# Upatkanaji wa masoko
Ntashukuru kwa kujuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah hakuna aliye changia huu uzi tangu 2007? Wataalamu humu njooni mtujuze
 
Bei ya vitunguu Maji imefika ngapi Sokoni ? Hasa dar?
 
Back
Top Bottom