Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wanajamvi wenzangu, naleta Uzi huu , ili kuweza kupata ushauri ama kama kuna MTU tunaweza kujoin tukafanya biashara ya kilimo, tukalima kilimo cha muda mfupi mm Nina milioni 1 wakuu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naomba mnijuzee wapi kuna mvua ya kutosha na ardhi nzuri yenye rutuba hususani kwa kilimo cha alizetii pia bei za mashamba na gharama nyingine katika hio mikoa Pia upatikanaji na gharama za...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
NINA TREKTA MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI KANIUNGANISHA NA WANUNUZI WA UHAKIKA NITAKAPOVUNA MAZAO KANIPA NA 8 MILLION KWA KUANZIA SWALI LANGU NI MOJA,MKOA GANI NAWEZA ANZA KILIMO?
3 Reactions
38 Replies
9K Views
Tajwa hapo juu ni Aina ya tunda ila lina majina mengi mno. Kwa kiswahili sijui. Haya matunda yapo ya Wildau ya Msituni au ya Kienyejina piayapo Chotara. Nchi ya Kolombia ndo mzalishaji mkuu wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wanaojua kuvundika ndizi na zikaiva vizuri Naomba msada Jinsi ya kufanya
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Jaman wadau mm ni kijana nimeamua kujiajiri ktk biashara ya kuuza mafuta ya ubuyu na asali, kwa yeyote anayejua soko la hii kitu lilipo msaada tafadhari! Hali ya ajira na maisha ni ngumu jamani...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Ndugu nahitaji mashine Ya kutengeneza chostick nianze Kazi Rasmi, anaejua mahal zinapopatikana anijuze
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Habari za wakati huu ndugu, nipo apa kwaajili ya kuomba kazi yeyote inayohusiana na masuala ya Kilimo na mifugo, napatikana Arusha.niko tayari kufanya ata kwakujitolea ili nisipoteze elimu yangu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakubwa., Ninahitaji kujua kuhusu incubator, efficiency yake katika utotoaji na aina zake kwa wafugaji wadogo dogo . Incubator za mayai kuanzia 48 - 200 and above. Kwa wale ambao wanazo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta mtu yoyote wa kufanyanae kazi ya kufuga kuku wa kisasa.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habar za wakati huu wandugu.. Kwa mahitaji ya Hoho za Rangi Nyekundu na Njano zipo zinapatikana kwa kiwango chochote kile.. Bei ni Tsh 4000 kwa Kg 1 Mawasiliano 0674003019 Tunatuma mzigo...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kilimo cha hydroponic ni Kilimo ambacho hakitumii udongo katika upandaji wa mazao hususa mbogamboga, Virutubisho ambavyo mmea unavipata kutoka kwenye udongo husambazwa kwa njia ya maji yenye...
3 Reactions
24 Replies
13K Views
App inapatikana google play store kwa jina la Ufugaji au ipakue kupitia kiunganishi hiki https://play.google.com/store/apps/details?id=ifugaji.app.tanzania.kilimo Au nenda moja kwa moja kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pili pili mbuzi Pili pili hoho Pili pili za aina zote
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tujiandae kupanda kwa bei ya mahindi..mavuno mwaka huu yamesuasua. Zambia production zimeshuka by 34 %. Tanzania bado sijaona taarifa zao. Mahindi sasa yapo mikononi kwa wafanya...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Nitoe short story tu katika muendelezo wa kuelimisha jamii juu ya kilimo hai(organic farming). Mimi Kwangu nimepanda mboga mboga katika mifuko hivyo mara nyingi huwa sinunui mboga sokoni, sasa...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Kuna hawa wanajiita MKIKITA naona nao wana project kama za Namaingo we unatoa fees wanakuchukulia mkopo wanakulimia wanakata gharama za ulimaji na mkopo we eti unapewa faida tu. Nikitazama naona...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Horticultural Farming for Improved Production Economy (HoFIPE) is a project that desires to address youth employment through the agricultural sector in Tanzania. The project intends to involve...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimenunua epson printer L800 na hapa mjini studio zinasafisha picha kwa tsh 200 picha ya size 4 kwa 6, je mimi nikisafisha kwa 200 nitapata faida? Msaada wadau
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Wana jf Habari za majukumu,niko Serengeti mkoa wa Mara na jishughulisha na kilimo ila kwa sasa nahitaji kufanya kisasa kidogo nahitaji kujenga green house ya mita 15 kwa 25 kwa ajiri ya nyanya au...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom