Mtaji wa kilimo cha mbogamboga

mrmind

Member
Jun 26, 2016
8
3
Naitaji kufanya kilimo cha mboga mboga maeneo yanayozunguka Dar es salam. Sasa nataka kujua kwa wenye uzoefu mzuri mtaji wa kimo cha chini na cha kati niwe na shilingi ngapi.
 
Mtaji wa kwanza eneo la kulimia pili soko ,eneo unalo la ukubwa gani !?*
Aina eneo na ndio hilo linalonicheleweaha

Swala LA soko halisumbui kabisa.

Nafikiria kutafuta shamba Moro na Pwani ila sasa sijui watanikodishia kwa sh ngapi
 
Naitaji kufanya kilimo cha mboga mboga maeneo yanayozunguka dar es salam.
Sasa nataka kujua kwa wenye uzoefu mzuri mtaji Wa limo cha chini na cha kati niwe na sh ngapi.
Tuna same idea. kuna mtu ana heka tatu, nataka kuchukua mbili. itabaki moja.
 
Naitaji kufanya kilimo cha mboga mboga maeneo yanayozunguka dar es salam.
Sasa nataka kujua kwa wenye uzoefu mzuri mtaji Wa limo cha chini na cha kati niwe na sh ngapi.
Mkuu nipe namba na mm nitafute ka plot nilime matikiti huko kimbiji
 
SORRY TO ASK?

KIMBIJI KUNA MAJI YA KUMWAGILIA HIZO MBOGA AU KUNA MTO UNAOTIRIRISHA MAJI MWAKA MZIMA?

AU UKILIMA MBOGA UNASUBIRIA MVUA INYESHE?
 
Aina eneo na ndio hilo linalonicheleweaha


Swala LA soko halisumbui kabisa.


Nafikiria kutafuta shamba Moro na pwani ila sasa sijui watanikodishia kwa sh ngapi

Nina eneo Dar.... Kama uko interestes njoo inbox...

Tunaingia share
 
Kwa atakayehitaji kisima kwa shughuli ya umwagiliaji huko kimbiji tuwasiliane,bei ni nafuu mno kwa kisima cha lingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom