Msaada wa hili tatizo katika zao la Green Beans, mizizi kuoza

Nov 13, 2018
20
5
Habari ndugu zangu?

Poleni na majukumu ya kila siku, mimi nina swali naomba mwenye kufahamu utatuzi sahihi anisaidie hapa.

Tatizo la mizizi kuoza katika kilimo cha green beans naitaji kufahamu haya yafuatayo:-

1. Chanzo cha ugonjwa/tatizo

2. Ipi ni dawa sahihi na inachukua muda gani kufanya kazi.

3. Tatizo hili linaweza athiri kiasi gani mazao

4. Je ipi ni namna bora ya kulikabili hapo baadae.

Nimeambatanisha picha za mimea niliyoigundua hivi karibuni.
IMG_1226.JPG

IMG_1229.JPG


Natanguliza shukrani wakuu.
 
mbona inaonesha kama inaliwa na wadudu,kingine maji yakiwa mengi mizizi inaoza.
 
Back
Top Bottom