JOY Mkulima
New Member
- Sep 3, 2018
- 1
- 0
Habari wana Jamvi, Naomba mnisaidie, matunda ya mipapai yangu yamepungua utamu (sukari) sijui ni kitu gani naomba anyefahamu tatizo tafadhali anijulishe. Ni mbeu ya Malkia F1
Ulinunua mbegu?Habari wana Jamvi, Naomba mnisaidie, matunda ya mipapai yangu yamepungua utamu (sukari) sijui ni kitu gani naomba anyefahamu tatizo tafadhali anijulishe. Ni mbeu ya Malkia F1