Ngoja kwanza nika-google hiyo azolla alaf nitarudiNdugu wana Jf hasa jukwaa hili LA ujasiriamali na biashara.nilikuwa nauliza je ?
Je kilimo cha Azolla mbegu zake hupatikana wapi,na ukilima Soko lake likovipi.
Vipi General management yake ikoje?
Subiri kwanza nitakujuza badae kwa sasa nipo dar es salaam, nawasiliana na bwana mdogo halafu nitakujulisha Bongemfungua mafundo nikitaka hiyo Azolla naweza kupata kutoka kwako?
Yes hiyo ndo azolla bhana, ilinitesa sana hii shambani aiseeAzolla - Wikipedia, the free encyclopedia
Haya madude labda SUA ndo wanajua..
View attachment 376407View attachment 376409View attachment 376410
Asante kwa kujibu mfungua mafundo ...ukipata jibu la bwana mdogo usiache kinijulisha.Subiri kwanza nitakujuza badae kwa sasa nipo dar es salaam, nawasiliana na bwana mdogo halafu nitakujulisha Bonge
Soko lipo kubwa sana, tengeneza chakula cha kuku uuze kama chakula cha kuku. Ukiitntroduce bidhaa mpya kwenye soko ukafanikiwa kuimarket vizuri unamonopolize soko!Soko la azolla kwa Tanzania bado halijawa kubwa na linaweza kuwa halipo kabisa maana ni watu wachache sana wanaotambua umuhimu wake kwenye mifugo. Katika nchi zilizoendelea Azolla wamefikia kiasi cha kuzalisha mafuta (ethanal) kutumia azolla. Na mafuta hya yanatumika kwenye magar na hta kuzalisha umeme. Miaka inayokuja na technologia inavyokuwa zitatengenezwa mashine na magar ambyo yatatumia azolla fuel.
Ila kama wewe ni mfugaji ni vizuri ukajizalishia azolla kama chakula cha mifugo yako. Kwa mfano research zinaonyesha kuwa uzalishaji wa maziwa kutoka kwenye ngombe huongezeka mara dufu endapo ngombe atalishwa azzola vilevile hta kwenye ukuaji wa kuku na samaki azzola imeprove kuwa reliable source ya protein.
Kwa soko la kimataifa azolla inasoko kubwa sana. Kwa mfano USA Zinalimwa kwenye hi tech green house ili kutilize space.
So kma wataka zalisha azolla kwa sasa Tanzania unabidi uzalishe kwa ajil ya export na kumbuka quality na quantity kwenye international maket ni factor kubwa.
Ninayo bado unahitaji?Mwenye kujua anichek 0652359818 & 0767359818