bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,209
- 308
Nimepata mtu wa kubadilishana kituo nitoke Magu, Mwanza kwenda Mkuranga. Nimepapenda kwa sababu pako karibu na kitovu cha nchi.
Mimi ni Afisa kilimo na ninapenda sana kulima kibiashara. Ukweli ni upi kuhusu maeneo ya kuwekeza ktk kilimo?Je gharama za maisha zikoje?