TOP 20
Member
- Dec 12, 2016
- 8
- 3
Wakuu naombeni msaada kwa mwenyeji wa mkoa tajwa hapo juu.
Mimi ni kijana niliyemaliza chuo CBE dar es salaam.
Kutokana na ajira Kuwa ngumu nimeamua bora nijihusishe na kilimo cha karanga kutokana na utafiti nilioufanya juu ya zao hili.
Nimeamua kulenga mikoa ya kusini kwasababu ndipo zao hili linapostawi vizuri.
Lakini si mwenyeji wa hii mikoa tajwa,
Lengo ni kumpata mwenyeji kwa ajili ya
_kunisaidia kupata mashamba ya bei nzuri
_kujuwa ni wapi nitawapata watu wa pembejeo
_nk
Au kama kuna mtu ana namba za dalali wa mikoa tajwa anisaidie tafadhali