Tanzania ni nchi inayotembea juu ya mabega ya wakulima na wafugaji.
Kila sahani tunayoweka mezani ni matokeo ya jasho lao—wakati mwingine jasho la mwisho kabisa.
Lakini cha kushangaza ni kwamba...
📌 KUMBUKIZI
Tulipata fursa ya kumtembelea Afande Ntale, askari mpambanaji na mwenye maono. Licha ya majukumu yake kazini, hakuona sababu ya kuachana na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.
Kwa kupitia...
Habari wanajamvi,
Naomba kufahamu mahali wanakopatikana mbuzi kwa wingi na bei nafuu niko dar nahitaji wengi kwa biashara kama unafahamu mkoa, wilaya au kijiji basi naomba mnifahamishe.
KUMBUKIZI 📌
Hapa ni zaidi ya Miaka m3 nyuma ambapo tulimtembelea Mzee kwezi na akatueleza na kutusanua fursa inayopatikana Katika Ufugaji wa ng'ombe wa Maziwa.
Hapa alieleza jinsi ambavyo...
💡Je, unajua? Ukirekodi gharama zako zote kwenye Fuga App,inarahisisha kufuatilia faida na hasara zako kwa urahisi ukiwa popote pale kupitia simu yako📱kwa ajili Ufugaji Wako wa Kuku
Huna haja ya...
Usishtuke na kichwa cha habari—ni utani tu.
Lakini ujumbe wake ni mzito na wa kweli 👇
🐄 Ufugaji wa ng’ombe ni fursa kubwa ya kiuchumi, haijalishi unaishi wapi:
iwe ni kijijini, pembezoni mwa mji...
Hapa Tanzania ukisema kuna ng’ombe wanaoweza kutoa lita 40 za maziwa kwa siku, wengi watakushangaa—wengine hata watakupinga kabisa.
Lakini ukweli ni huu: ng’ombe hao wapo. Ukienda nchi jirani kama...
Chukua mfano wa ng’ombe mmoja bora wa maziwa:
➡ Anaweza kutoa wastani wa lita 15–20 kwa siku
➡ Kwa bei ya sasa ya soko (maeneo mengi TZS 2,000 au zaidi kwa lita), hii ni sawa na:
TZS 30,000–40,000...
Kama kichwa kinavojidadavua hapo juu, mimi ni kijana wa makamo naishi Dare es Salaam,
Nafanya kazi kwenye government company hapahapa mjini kwa muda kidogo najihusisha na kilimo cha bustani...
Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukupa mapato ya hadi TZS 900,000 kwa mwezi — si kwa bahati, wala miujiza, bali kwa maarifa sahihi, mipango thabiti, na ufugaji wa kibiashara unaoeleweka...
Naomba mtaalam wa kilimo Cha pesheni anae fahamu vitu vifuatavyo.
Anaejua mbegu nzuri na bora sokoni?
Anaejua vipimo Vya kilimo Kwa mche na mche
Anaejua muda wa kukomaa tunda hilo na njia za...
Ukiona serikali ya sisiyemu imetoka mbio mbio kutoa tahadhari ya janga la njaa na kuwasihi wakulima watunze chakula ujue hali si rafiki kabisa.
Mwigulu nchemba kageuka kuwa Yusuphu wa kwa farao...
Tukio la uume wa mbwa wa kiume kubaki ndani ya mbwa wa kike baada ya kupandana ni jambo la kawaida kabisa na ni sehemu muhimu ya uzazi wa mbwa. Hali hii huitwa “copulatory tie” au “lock”. Ni...
Ni pamp inayo faa kwa kilimo na ufugaji wa samaki kwani ina uwezo wa kuvuta maji kwa kiwango kikubwa hadi lita 800 kwa dakika . Namb 0657 139511/0768092950
Wakulima na wapenda bustani, kama ulikuwa unasubiri nafasi ya kuanza kilimo kwa gharama ndogo na faida ya haraka, hii ndiyo fursa yako.
Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na...
Salaam kwenu
Bila shaka Mwenyenzi Mungu anawajalia kila lililo jema
Natarajia kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza na kuuza MAJANI ya malisho ya mifugo (ngombe, mbuzi, kondoo......).
Kwa...
Super Market za local products/ ushirika. Kuna idea moja huwa naiwaza sana na inawezeka a ila shida kuu nchi imejaa watu wajinga ambao muda wote tunawaza negative tu, yaani hatuwazi wala kuhofia...
Serikali imetangaza kuwepo kwa ukame katika baadhi ya mikoa nchini. Hata hivyo, licha ya taarifa hizi za kitaifa, viongozi wa Wilaya ya Missenyi wamepuuza uhalisia uliopo katika Mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.