Huu ndio ugonjwa wa Kideri: NewCastle Disease

Huu ndio ugonjwa wa Kideri: NewCastle Disease

Brayan_Jk

Senior Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
199
Reaction score
236

Moja ya magonjwa mabaya zaidi yanayowakumba kuku. Ugonjwa huu huathiri ubongo na mfumo wa neva, na kusababisha dalili kama shingo kupinda , kutembea vibaya, kupumua kwa shida, na kushuka kwa uzalishaji wa mayai.

Kibaya zaidi? Unaweza kupoteza hadi 90% ya kuku wako ndani ya muda mfupi kama hutachukua hatua mapema.

Lakini habari njema ni kwamba, kuzuia ni rahisi kuliko kutibu.
Ndiyo maana Fuga App ipo kwa ajili yako:
✅ Kukumbusha ratiba za chanjo kwa wakati ili kuzuia ND
✅ Kukupangia bajeti zako mapema ili usikose chanjo muhimu
✅ Kukupa elimu na vidokezo vya kudhibiti magonjwa

Usisubiri hadi uchelewe,pakua Fuga App sasa na linda uwekezaji wako. 🐓📲Fuga - Apps on Google Play
 
Kwanini Hadi tujisajiri kwenye App Yako mkuu? Kuna umuhimu Gani wa Mimi kujisajiri au kutokujisajiri?

Namba ya simu ni ya Nini?
 
Kwanini Hadi tujisajiri kwenye App Yako mkuu? Kuna umuhimu Gani wa Mimi kujisajiri au kutokujisajiri?

Namba ya simu ni ya Nini?
Ukijisajili kwenye App ndo utaweza kutumia vipengele vingi zaidi ,kusajili kundi na Kutumia Application hio, hio ni standard kwa App yoyote mtandaoni. Ila usipojisajili kuna kipengele utaweza kukitumia (Makadirio)


Kuhusu Namba ya simu ni ili tuweze Kukutumia Ukumbusho wa Chanjo, ila pia namba ya simu inatumika kuthibitisha kama kweli hio number ipo kwa kutuma OTP, Na pia ukiwa umesahau neno la Siri. Namba ya Simu pia ina act kama unique id ili tueweze ku store data zako
 
Ziwahi uzichinje ule kabla hazijafa zikifika hatua hiyo haziwezi kupona
 
Back
Top Bottom