Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kama wewe ni Mfugaji Kuku ,Fuga App inakusaidia Kufuga kwa Uhakika kwa Kuepuka hasara zinzazotokana na Kulisha zaidi au kuwapunja Kuku,kwa kukupa ratiba ya Chakula kila siku. Simamia Shamba lako...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Hawa wadudu wadogo sana wansumbua na kuwananyonya damu ya kuku wako . Wanaficha kwenye nyufa za mbao na sehemu zisizo na mwanga , ila usiku ndio wanashambulia. Wanaongezeka haraka zaidi kwenye...
1 Reactions
0 Replies
400 Views
Fuga App inakusaidia kuacha kupoteza fedha, kufuga kuku wenye afya bora, na kugeuza ufugaji wako wa kuku kuwa biashara yenye kipato cha uhakika hata kama umewahi kupata changamoto hapo awali...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari za majukumu wadau wote, Ndugu zangu nina ushawishi mkubwa sana wa kutaka kulima zao la Shayiri kibiashara, hivyo basi naomba nifahamishwe mazingira halisi ya ukuaji wa zao hilo. Mimi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Unajua? Kuku wengi hupoteza uzito, kula sana lakini wasikue, na hata kufa — si kwa sababu ya chakula kibaya, bali kwa minyoo ya tumboni. Minyoo huishi tumboni mwa kuku Hula virutubisho vyote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mnada wa kwanza umesomwa na bei kama inavyoonekana
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Ghana is setting its sights on becoming the largest chicken producer in Africa within the next three years. Local farmers will be supported with day-old chicks, affordable feed, and modern...
2 Reactions
5 Replies
631 Views
Hii ndio weekend bna... kuku nao wanajua muda wa kupumzika! Kwa kutumia Fuga App, unaweza kudhibiti chakula, kumbukumbu na ratiba huku ukiendelea kustarehe. Pakua Leo Fuga App Playstore,uweze...
1 Reactions
2 Replies
639 Views
Habari za wakati huu. Naomba kujua Tanzania hapa Kuna viwanda vya kusindika kuku?, msaada tafadhari.
2 Reactions
7 Replies
766 Views
🌟 WAKATI NI SASA! 🌟 Upandishaji kwa Chupa (AI) kwa Ng’ombe na Nguruwe – Teknolojia ya Kisasa kwa Mafanikio ya Mifugo Yako! 🐄🐖 Unataka Ng’ombe au Nguruwe Wenye Maziwa Mengi, Uzito Mkubwa, na Uwezo...
1 Reactions
3 Replies
479 Views
POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi. Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati. Ni kilimishi...
3 Reactions
30 Replies
9K Views
Wakuu, Habari za Leo, Wafugaji wa Kuku naomba kuuliza , mnajuaje huyu Kuku inabidi mumuuze kwa bei flani (mfano 7,000)? Kwa kutumia Fuga App itakusaidia kujua kila shilingi inapokwenda na kukupa...
3 Reactions
12 Replies
946 Views
🌍 Rubaba Media – Tukiinua Ufugaji na Kilimo Tanzania 🌱🐖 Kwa muda mrefu, Rubaba Media tumekuwa tukipokea jumbe kutoka kwa watu wa aina mbalimbali – wanafunzi, wafanyakazi, wafugaji wapya na hata...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
  • Poll Poll
Tip: Lishe bora si rangi pekee, ni mchanganyiko sahihi. Fuga App inakusaidia kupanga na kufuatilia lishe ya kuku wako kwa ufanisi. Pakua Leo Playstore (Fuga - Apps on Google Play) 🎥credit...
0 Reactions
2 Replies
479 Views
Sifa Zinazopelekea Aina Hizi Za Embe Kuwa Bora Zaidi ya Nyingine Sokoni. Kwa Kawaida Tunda La Embe linapendwa takribani na watu wote kwasababu ya ladha yake ya sukari/ Tamu. Kwenye Biashara Aina...
7 Reactions
55 Replies
8K Views
Hebu kila mmoja atupe uzoefu wake kwenye biashara za exportation Au useme ni sababu gani zinakufanya ushindwe kufanya exportation Mimi nitaeleza kidogo: Leo nimeona tujadili kidogo ni kwanini...
38 Reactions
103 Replies
28K Views
Habari wakuu. Naomba kujua kama ni sahihi kupandikiza mimea miwili ya chainizi kwa shimo Moja, endapo nitaweka mbolea nyingi zaidi ya sehemu niliyopandikiza mmea mmoja.
2 Reactions
7 Replies
650 Views
My Take Bila kukuza sekta ya mifugo na kuanzisha viwanda vya kuchakata unga na ku blend ,mahindi yataendelea kuromoka. Zimbabwe nako ni bumper harvests...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za muda muda wadau bila shaka mnaendelea kufuatilia wagombea waliopita.Nisiwachoshe nipo jijini Mwanza najihusisha na ufugaji wa samaki aina ya Sato ziwa victoria, natarajia kuvuna...
14 Reactions
44 Replies
2K Views
Changamoto kubwa ya kilimo na ufugaji si uzalishaji – ni soko. Wengi hufanya kazi kubwa shambani au bandani, lakini mwisho wa siku bei ni ndogo, wanunuzi hawapo, au madalali ndio hunufaika. 👉...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Back
Top Bottom