Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

  • Redirect
2 Reactions
Replies
Views
💡Je, unajua? Ukirekodi gharama zako zote kwenye Fuga App,inarahisisha kufuatilia faida na hasara zako kwa urahisi ukiwa popote pale kupitia simu yako📱kwa ajili Ufugaji Wako wa Kuku Huna haja ya...
3 Reactions
2 Replies
484 Views
Usishtuke na kichwa cha habari—ni utani tu. Lakini ujumbe wake ni mzito na wa kweli 👇 🐄 Ufugaji wa ng’ombe ni fursa kubwa ya kiuchumi, haijalishi unaishi wapi: iwe ni kijijini, pembezoni mwa mji...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Hapa Tanzania ukisema kuna ng’ombe wanaoweza kutoa lita 40 za maziwa kwa siku, wengi watakushangaa—wengine hata watakupinga kabisa. Lakini ukweli ni huu: ng’ombe hao wapo. Ukienda nchi jirani kama...
1 Reactions
6 Replies
497 Views
Chukua mfano wa ng’ombe mmoja bora wa maziwa: ➡ Anaweza kutoa wastani wa lita 15–20 kwa siku ➡ Kwa bei ya sasa ya soko (maeneo mengi TZS 2,000 au zaidi kwa lita), hii ni sawa na: TZS 30,000–40,000...
2 Reactions
22 Replies
786 Views
Kama kichwa kinavojidadavua hapo juu, mimi ni kijana wa makamo naishi Dare es Salaam, Nafanya kazi kwenye government company hapahapa mjini kwa muda kidogo najihusisha na kilimo cha bustani...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukupa mapato ya hadi TZS 900,000 kwa mwezi — si kwa bahati, wala miujiza, bali kwa maarifa sahihi, mipango thabiti, na ufugaji wa kibiashara unaoeleweka...
1 Reactions
0 Replies
317 Views
Naomba mtaalam wa kilimo Cha pesheni anae fahamu vitu vifuatavyo. Anaejua mbegu nzuri na bora sokoni? Anaejua vipimo Vya kilimo Kwa mche na mche Anaejua muda wa kukomaa tunda hilo na njia za...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukiona serikali ya sisiyemu imetoka mbio mbio kutoa tahadhari ya janga la njaa na kuwasihi wakulima watunze chakula ujue hali si rafiki kabisa. Mwigulu nchemba kageuka kuwa Yusuphu wa kwa farao...
9 Reactions
39 Replies
1K Views
Tukio la uume wa mbwa wa kiume kubaki ndani ya mbwa wa kike baada ya kupandana ni jambo la kawaida kabisa na ni sehemu muhimu ya uzazi wa mbwa. Hali hii huitwa “copulatory tie” au “lock”. Ni...
0 Reactions
2 Replies
619 Views
Ni pamp inayo faa kwa kilimo na ufugaji wa samaki kwani ina uwezo wa kuvuta maji kwa kiwango kikubwa hadi lita 800 kwa dakika . Namb 0657 139511/0768092950
3 Reactions
77 Replies
16K Views
Mpendwa mwana JF, unaweza kushangaa kusikia kuwa mbwa ni biashara nzuri kupita hata kufuga ng'ombe kibiashara na ukashangaa. Uzi huu utakuwa ni maalum katika kupeana uzoefu katika biashara hii ya...
16 Reactions
809 Replies
171K Views
Wakulima na wapenda bustani, kama ulikuwa unasubiri nafasi ya kuanza kilimo kwa gharama ndogo na faida ya haraka, hii ndiyo fursa yako. Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na...
2 Reactions
5 Replies
423 Views
Salaam kwenu Bila shaka Mwenyenzi Mungu anawajalia kila lililo jema Natarajia kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza na kuuza MAJANI ya malisho ya mifugo (ngombe, mbuzi, kondoo......). Kwa...
0 Reactions
3 Replies
258 Views
Super Market za local products/ ushirika. Kuna idea moja huwa naiwaza sana na inawezeka a ila shida kuu nchi imejaa watu wajinga ambao muda wote tunawaza negative tu, yaani hatuwazi wala kuhofia...
11 Reactions
18 Replies
1K Views
Serikali imetangaza kuwepo kwa ukame katika baadhi ya mikoa nchini. Hata hivyo, licha ya taarifa hizi za kitaifa, viongozi wa Wilaya ya Missenyi wamepuuza uhalisia uliopo katika Mkoa wa...
2 Reactions
16 Replies
499 Views
Wanajanvi Salaam, Ni matumaini yangu wanajanvi mko wazima na mnaendelea na harakati za upambanaji wa kutafuta mkate wa familia. Napenda kuleta mlejesho wangu kuhusu safari yangu ya kwenda Mpanda...
58 Reactions
503 Replies
77K Views
Kama wewe ndo umemaliza chuo au mwaka kesho unataka kuanza ufugaji wa Kuku Kwa urahisi,hii ni kwa ajili yako Kama unataka kuanza Kufuga kuku kwa urahisi,bila kuhangaika kujua pa kuanzia, bila...
4 Reactions
4 Replies
451 Views
Mwezi wa 12 ni zaidi ya sherehe na mapumziko. Kwa mkulima na mfugaji mwenye maono, huu ni mwezi wa kufanya maandalizi muhimu kabla ya kufunga mwaka na kuweka msingi imara wa mafanikio ya msimu...
1 Reactions
2 Replies
232 Views
MASHINE YA KUKATIA NYASI NA MASHINE YA KUPALILIA MASHAMBA | BRUSH CUTTER MACHINE Call/Text/WhatsApp: +255 762 212623 Bei za hii BRUSH CUTTER MACHINE. 📌FOUR STROKE Kubwa: 700,000Tsh - Ya mgongoni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom