Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Naomba kujuzwa juu ya ufugaji mkubwa wa ng'ombe. Nahitaji kuwa na ng'ombe kama elfu moja na mia mbili. Je, nitatakiwa kuwa na vibali vipi serikalini!? Je, ng'ombe wanaotoa maziwa mengi ntapatia...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wana JF Kwa wenye ufahamu wa bei ya MBAAZI kwa maeneo mbali mbali na kwa kipindi hiki naomba tufahamishane Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF, naomba kujua ni lini msimu rasmi wa kuanza kilimo cha Ufuta, nataraji kulima Ufuta maeneo ya Babati mkoani Manyara. Pia nahitaji ufafanuzi kwa wataalamu wa muda mrefu wa zao la...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyosema ni wapi nitapata Ng'ombe wa maziwa mwenye mimba kwa bei rahisI? Mini ninaishi mkoani Mwanza.
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wakuu, Ufugaji wa kuku wa nyama umekua mkonbozi sana kwa wafugaji wengi lakini tatizo linakuja kwenye soko la uhakika la kuwauza hao kuku, mwisho wa siku wanajikuta wakiingia hasara...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za jioni wadau, nahitaji watu wenye uzoefu wa kupanga magogo na kuchoma mkaa. Pia nahitaji mtaalamu wa kutumia chainsaw. Kazi iko Kilwa. Karibuni.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wadau. Naomba kufahamu Bei ya mpunga kwa eneo la Ifakara ni shilingi ngapi kwa sasa kwa gunia la debe kumi au bei ya Debe moja. Lengo langu nataka nianze kununua kwa sasa ili mwezi wa 12...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
FURSA YA KILIMO CHA NYOKA Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo chenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana. Sumu ya nyoka inatumika...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari za mda huu wana jamvi, Naomba msaada kwenye tuta.Kuna rafiki yangu ni Mwalimu yupo wilayani Newala katika mkoa wa Mtwara. Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake anatakiwa kuhama...
2 Reactions
25 Replies
11K Views
Nimepata wazo kwa sisi tulioshika mashamba makubwa ni bora kuyalima miti. Wanasema maembe baada ya miaka 3 utaanza kuvuna maembe na kufikia miaka 5 hadi maembe 500 utapata. Kwa mitiki, wao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau habarini za mchana huu! Mwenzenu nina ufugaji wa Kuku wa asili na Mungu kanisaidia wamefika 300 na ninatumia mfumo wa zero grazing. Kuna huu ugonjwa Kuku kama 10 yote majogoo miguu inakosa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani mie nina plan ya kufuga kitimoto kwa wingi. Nimesha fuatilia kwa karibu gharama infmashen nyingi ila kabla sijaanza ufugaji wenyewe naomba nijue kuhusu soko. Nia yangu ni kufuga na kuuza...
0 Reactions
141 Replies
59K Views
Habari, Ikiwa nimepanda maharage ya soya ya njano kwenye shamba lenye ukubwa wa heka 2, yakaota vizuri na kuzaa vizuri, je kuna uwezekano wa kuvuna gunia ngapi?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Je kuna kampuni ambayo naweza kuja na bidhaa mfano viungo na wao wakawa wanazifungasha ili mimi nichukue kutoka kwao bidhaa iliyokamilika? Inaitwa Copacking kwa kiingereza maelezo link:
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ya majukumu naomba kuuliza wafanyabiashara ulieko mkoa wowote Dar Iringa Mbeya bei ya gunia la njugu mawe ni shilingi ngapi??
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Ndugu zangu nataka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Nimechagua jukwaa hili kama sehemu ya kupata maujuzi. Naomba kujuzwa juu ya Gharama, Faida, Changamoto nk
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Watalamu wakubadi nimefanya hivi ili hilo tawi liweke mizizi kwenye huo udongo halafu nilitoe hilo tawi niipande sehemu nyingine naomba mniambie kama nitafanikiwa au nimechemka
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu! Mimi napenda sana sekta ya kilimo na ufugaji, sasa nilifanya Demo ya kilimo cha pilipili, kwa miche 3 tu. Leo nimevuna . Naona pili pili zimetoka vizuri sana, nimeona kumbe naweza kufanya...
7 Reactions
26 Replies
6K Views
Wakuu mwaka huu nimeamua kulima vitunguu,natafuta mbegu bora za kupanda kwenye vitalu mwishoni mwa mwezi huu. Mimi niko Moshi kama unazo ni-PM tufanye biashara.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari wazee kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nilianza ufugaji mwaka jana mwezi kama huu nilifuga kuku kwa ya intensive system kuku zaidi ya 150 lakini niliwahudumia vizuri nikiwa huku...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…