Kurudi kwenye Ufugaji wa Kuku

mackmambo

Senior Member
Jul 7, 2018
106
65
Habari wazee kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nilianza ufugaji mwaka jana mwezi kama huu nilifuga kuku kwa ya intensive system kuku zaidi ya 150 lakini niliwahudumia vizuri nikiwa huku naendelea na masomo yangu kwenye chuo cha mifugo hivyo mimi nakuwa na hudumia nikiwa likizo mdogo wangu yeye anaudumia nikiwa sipo.

So, kama ugonjwa ukitokea ana niambia namuelekeza dawa na management za ufugaji wa kuku. Changamoto niliokutana nayo ni madalali kwenye kuuza nakumbuka nilipofunga chuo nilirud home ikanibidi nitafute soko nikatafuta soko nikapata sehem ya barabarani kuuzia nikaongea na dalali akaja na kenta kusomba kuku nyumbani tulikubaliana akimaliza mzigo ananipa pesa yangu lakin nilichokuja kuambulia ni pesa ndogo sana maana nilimuachia mzigo kutokana kesho yake naelekea field so nikawa napiga simu huku napewa tarehe mbali mbali na kutumiwa elfu 30 kwa mwezi mara elfu20 daah hapo ndipo mtaji ulipokufa.

So ombi langu ni kama unaingia kwenye ufugaji au kilimo usimuamin mtu anaeitwa dalali hivyo nimejipanga mwaka huu kurudi tena mwezi ujao bado sijakata tamaa ikiwa ndio profesinal yangu ninayo isomea pia napenda kuwatakia week end njema
 
Karibu sana ndugu binafisi hii ni mojawapo ya kazi yangu ila madalali wanaumiza sana
 
Pole sana mkuu! Naomba kufahamu walikuwa kuku wa kienyeji au kizungu?
 
Karibu sana ndugu binafisi hii ni mojawapo ya kazi yangu ila madalali wanaumiza sana
Yeah mkuu nimepanga kurudi tena sijakata tamaa kila kitu cha mwanzo tunaishi kwa kujifunza
 
Habari wazee kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nilianza ufugaji mwaka jana mwezi kama huu nilifuga kuku kwa ya intensive system kuku zaidi ya 150 lakini niliwahudumia vizuri nikiwa huku naendelea na masomo yangu kwenye chuo cha mifugo hivyo mimi nakuwa na hudumia nikiwa likizo mdogo wangu yeye anaudumia nikiwa sipo.

So, kama ugonjwa ukitokea ana niambia namuelekeza dawa na management za ufugaji wa kuku. Changamoto niliokutana nayo ni madalali kwenye kuuza nakumbuka nilipofunga chuo nilirud home ikanibidi nitafute soko nikatafuta soko nikapata sehem ya barabarani kuuzia nikaongea na dalali akaja na kenta kusomba kuku nyumbani tulikubaliana akimaliza mzigo ananipa pesa yangu lakin nilichokuja kuambulia ni pesa ndogo sana maana nilimuachia mzigo kutokana kesho yake naelekea field so nikawa napiga simu huku napewa tarehe mbali mbali na kutumiwa elfu 30 kwa mwezi mara elfu20 daah hapo ndipo mtaji ulipokufa.

So ombi langu ni kama unaingia kwenye ufugaji au kilimo usimuamin mtu anaeitwa dalali hivyo nimejipanga mwaka huu kurudi tena mwezi ujao bado sijakata tamaa ikiwa ndio profesinal yangu ninayo isomea pia napenda kuwatakia week end njema
Pole sana mkuu. Mimi biashara hiyo nimefanya hapa mjini. Ni kweli madalali sio wazuri. Cha kufanya ni kuwauza kidogo kidogo utapata faida nzuri. Mtandao wa kijamii pia utakusaidia. Zungukia wafanyakazi wa serikali mshahara ukitoka ni wanunuzi wazuri wa mayai na nyama.
 
Nimefuga sana kuku wa kienyeji nilichokuwa nafanya ni bora niuze bei ya chini kuliko kumpa dalali pesa ambayo hajaitolea jasho.
tetea nilikuwa nauza elfu 9 tu jogoo nauza elfu 13 nilipata wateja wengi sana tena wateja wenyewe walikuwa wananipigia sijawahi kupata shida ya soko...bora niuze bei ya chini isiyo na hasara kuliko kumpa dalali pesa yangu
 
Pole sana mkuu. Mimi biashara hiyo nimefanya hapa mjini. Ni kweli madalali sio wazuri. Cha kufanya ni kuwauza kidogo kidogo utapata faida nzuri. Mtandao wa kijamii pia utakusaidia. Zungukia wafanyakazi wa serikali mshahara ukitoka ni wanunuzi wazuri wa mayai na nyama.
asante now nimepata mwanga wacha nikomae mwenyewe
 
Back
Top Bottom