Moja kwa moja kwenye mada
Kama kichwa kinavojieleza mtu mwenye mtaji na anapenda kulima zao la mahindi namkaribisha tufanye kazi
Aina ya mahindi tutayolima ni mahindi ya kuchoma maarufu kama...
Salamu wakuu.
Ni mara kadhaa nimelima pasipo kupima PH soil, sasa nataka kujua nyie wenzangu Kama huwa mnatest soil kwa kipimo hicho ili nijue na Mimi ni wapi nitaipata huduma hiyo.
Lakini pia...
Hi great thinkers,
Mwaka jana mnamo January nilianza ufugaji wa bata wa kienyeji ili niongeze kipato cha familia.Nikanunua bata jike 5 na dume 3 nikaanza kuwatunza wakazaliana wengi.Nilipotaka...
1: Wataweza kukopesheka bank sababu biashara yao itakuwa ya uhakika.
2: Wataweza kuongeza kipato zaidi ya Sasa.
3: Wataepuka hasara zitokanazo na dagaa kuoza, kuliwa na ndege na wadudu wengine.
4...
Habarini wana jamvi,
Kuanzia wiki iliyopita hatulali, yaani ikifika saa 10 asubuhi lazima tuamke tutake tusitake, jirani kaleta kanga wanne, yaani wanapiga kelele 24/7, kelele zilivyoanza nilijua...
Wakuu salam, kuna mtu kanisimulia kuhusu kampuni inayofanya kilimo kwenye mtandao.kwamba unatuma hela wao wanalima na kushughulikia mazao,yakiwa tayari wanauza unapewa hela yako,je ni kweli? Au...
Habarini ndugu wafugaji na wakulima,
Nina kuku wa mayai ambao wana mda wa miezi mitatu toka wameanza kutaga mwanzo walikuwa wanaenda vizuri kila wiki utagaji ulikuwa unapanda nilifikia tray 6 kwa...
Wanajukwaa naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha karoti, 1.mbegu ipi nzuri? 2.Je huwa zinaandaliwa kitaluni kama vitunguu, 3.msimu mzuri kuanza kulima zao hili. Ni hayo tu ahsanteni sana.
Habari wakuu,
Mimi ni mkulima wa vitunguu ninayeishi tunduma mjini ninavitunguu majj vya kutosha kwahiyo kama kuna dalali au mfanyabiashara wa vitunguu aje tufanye biashara.
Natanguliza shukrani.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufunga drip irrigation system kwenye shamba langu. Ijapokuwa shamba lenyewe ni kubwa, nafikiria kuanza na eneo nililolichagua, lenye ukubwa wa mita...
Habarin wakuu,
Nina Uza mashine za incubator kwa atakae kuwa muhitaji.
Mashine zinatoka china pia ukitaka toleo la mwingereza pia utapata.
Kwa size yoyote unayoitaka.pia kwa anaetaka vifaranga...
Jambo wana JF,
Mimi ni mjasiliamali natafuta shamba la kulima mwakani (masika) pamoja na eneo la kufugia mifugo yangu ikiwepo Mbuzi wa maziwa, nahitaji iwe katika maeneo ya Monduli eneo la Benett...
Nina mbwa wangu ni wa normal hayupo kwenye ukubwa wala udogo, lakini nikimuita jina nililompa anafanya shughuli zake kama hakusikii lakini ukimuita kwa "mluzi" anakuja.
Sasa sijajua ni kwa mda...
Wakubwa salamu sana ama baada ya salamu naomba mwenye kujua Bei ya hizi Basi za Yutong sasa hivi sijui zimefika ngapi, Napenda kujua bei complete kabisa. Shukrani na abarikiwe kila asomae Post...
Habari za saa hizi wadau.
Naomba msaada juu ya swala hilo tafadhali. Naomba kama kuna mdau unajua nyanya yoyote chotara F1yenye matunda makubwa na yenye umbo la mviringo dizain ya Tengeru 97...
Habari ndugu,
Naombeni ushauri wa kufuga sungura. Nimefuatilia post nyingi sana bado sijapata ufafanuzi kuhusu chanjo na chakula.
Asante Mungu. Asante marafiki.
Habarini ndugu zangu, naomba mtu mwenye kujua bei ya hoho aina ya YOLO WONDER 100g
Pia naomba mwenye kujua ni makopo mangapi yatatosha kwenye hekari moja.
Picha ya kopo lake mbegu ni hii hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.