Kilimo cha Miti ya miembe na mitiki

Kilimo cha Miti ya miembe na mitiki

CHIEF MGALULA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,193
Reaction score
912
Nimepata wazo kwa sisi tulioshika mashamba makubwa ni bora kuyalima miti.

Wanasema maembe baada ya miaka 3 utaanza kuvuna maembe na kufikia miaka 5 hadi maembe 500 utapata.

Kwa mitiki, wao utavuna baada ya miaka 10.
 
Mkuu uponl sawa.Ila ukilima sehemu kubwa jiandae kutafuta sok la nje au usindike jwisi.Maembe huiva kwa pamoja na Tanzania sehemu kubwa kuna maembe yanayojiotea otea tu.Tandika msimu wa maembe sindano unaweza jaza debe kwa buku.Kyela,Tabora nk huko maembe hujismdondekea tu, pwani ndio usiseme.Kwa hio jiandae namna ya kuuza sio kulima tu.
 
Back
Top Bottom