Wakuu mwaka huu nimeamua kulima vitunguu,natafuta mbegu bora za kupanda kwenye vitalu mwishoni mwa mwezi huu.
Mimi niko moshi km unazo ni-PM tufanye biashara
Neptune F1 unavuna tani ngapi kwa heka?Kama ni mbegu tu, mfano Jambar F1, Red Bombay, au Neptune F1 etc, Fika Kibo trading Moshi, juu kidogo ya NMB bank mandela brach, kama unaenda soko la kati.
Kila lakheri
Neptune F1 unavuna tani ngapi kwa heka?
Mara ngapi mfululizo unaweza kulima kitunguu kabla ya kubadilisha mazao? Na kuna mazao mengine ya kubadilisha zaidi ya mahindi na Maharage?ENDAPO KILA KITU KITAKUWA COSTANT (, UMEWEKA LISHE YA KUTOSHA, MAJI, UMEDHIBITI MAGUGU, UMETIBU WADUDU NA MAGONJWA), HUKOSI GUNIA 70 ZA KILO 140 NA KUENDELEA, ILA KAMA HUDUMA NI MBOVU, HATA GUNIA 20 UNAWEZA USIPATE, MAANA HIZO F1 NI HEAVY FEEDER
Mara ngapi mfululizo unaweza kulima kitunguu kabla ya kubadilisha mazao? Na kuna mazao mengine ya kubadilisha zaidi ya mahindi na Maharage?
Ulishapata mbegu? Na Mimi natafutaWakuu mwaka huu nimeamua kulima vitunguu,natafuta mbegu bora za kupanda kwenye vitalu mwishoni mwa mwezi huu.
Mimi niko moshi km unazo ni-PM tufanye biashara
Upo wapi?Natafuta soko la vtunguu nina gunia 50
Mimi mwenyewe natarajia kuvuna, nipo Morogoro sehemu inaitwa Lupiro katikati ya Ifakara na MahengeUpo wapi?