Ushauri kuhusu kilimo cha ufuta mkoani Mbeya

MeyaMbaruku

Member
Jul 23, 2016
12
45
Habari Wana JF naomba kuuliza Kama ifuatavyo

1. Kilimo Cha UFUTA mbeya kinalimwa wilaya gani

2. Masoko baada ya kuvuna yanapatikanaje hapo wilayani

3. Mtaji wake kuanzia kukodi shamba,kulima na kuvuna mpaka kuuza no kiasi gani

4. Lakini gharama za maisha hapo MKOANI kuanzia mahala pa kuishi,chakula na changamoto za hapo no Nini ili nikija nije nimejianda kwa Kila kitu kinachowezekana

USHAURI wenu ndugu Wana JF ahsante
 
Kashaija72

JF-Expert Member
May 18, 2020
465
1,000
Habari Wana JF naomba kuuliza Kama ifuatavyo

1. Kilimo Cha UFUTA mbeya kinalimwa wilaya gani
[Nilikutana na ufuta mwingi Sana wilaya ya Chunya hasahasa kwenye bonde la ufa]
2. Masoko baada ya kuvuna yanapatikanaje hapo wilayani
[Nilikuwa na shughuli zangu za data collection, wakulima walinijibu wanunuzi huwa wanatoka Mbeya mjini wanaenda kununua, Bei sikumbuki]
3. Mtaji wake kuanzia kukodi shamba,kulima na kuvuna mpaka kuuza no kiasi gani

4. Lakini gharama za maisha hapo MKOANI kuanzia mahala pa kuishi,chakula na changamoto za hapo no Nini ili nikija nije nimejianda kwa Kila kitu kinachowezekana

USHAURI wenu ndugu Wana JF ahsante
Wilaya ya Chunya MeyaMbaruku
 
Kashaija72

JF-Expert Member
May 18, 2020
465
1,000
Nimekutana na ufuta wilaya ya Chunya kwenye bonde la ufa, unalimwa Sana hapo. Pia Mkoa wa Songwe
 
Bwana Mpanzi

Member
Jun 28, 2019
60
125
Sehemu kubwa ya mkoa wa Songwe ndio wanalima sana ufuta pamoja na jirani zao mkoa wa Rukwa, mbeya sio sana kutokana na ikolojia yake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom