Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wakuu kwema? Hili zao la vanilla nimeona linapigiwa chapuo sana hasa kwenye bei yake nasikia ipo juu sana hadi kufikia usd 500 kwa kilo. Je ni kweli? Kwa wadau wanaohusika na ulimaji au wenye...
2 Reactions
39 Replies
10K Views
Mwenye utaalamu wa ufugaji bata mzinga na masoko yake, tafadhali naomba elimu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Poleni na shughuli za kuyatafuta maisha. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya wote wanaotaka kujua lolote kuhusu nyuki na mazao yake,tujadili hapa kwa kina kuhusu masuala ya nyuki. Mimi nina uzoefu...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari, Naomba ushauri kwa kuvuta nyuki kwenye mzinga. Najifunza ufugaji nyuki na nimejenga mzinga mdogo wa kama futi2 kwa 2. Nlishauriwa nichome nnta na nimefanya hivo wiki ya pili sasa sioni...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wananchi wenzangu, nimeazimia kulima shamba lakini nimeona hili ni jukwaa husika kwa hizi habari za kilimo sasa naomba ushauri kwa miezi hii ni mazao gani ambayo naweza kufanikiwa nikilima...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina Kobe lakini sifaham biashara yake ntaipata wapi. Inawezkana. Poor connection niliokua nayo. Kam kuna connection za kuuza kobe tujuzaje au biashara hizi ni za nadharua
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wadau. Mwaka jana kulikuwa na taharuki juu ya uendeshwaji ya biashara ya Mr. Kuku mpaka kupelekea kushtakiwa kwa kosa la upatu na kupelekea wawekezaji wengi kupoteza fedha zao. Mwisho wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani mimi ni mkulima mdogo mkoani iringa nalima mahindi, lakini kutoka na hali halisi ya soko na pembejeo kuwa juu nadhani mwakani sitoweza kulima, nataka kulima soya au mbaazi, sasa sijui...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAZIRI MKUU ATANGAZA ZABIBU KUINGIZWA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema zao la zabibu litajumuishwa katika mazao ya kimkakati ikiwa ni mkakati wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wanajamvi wenzangu, Katika kupitia makala mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali duniani nimegundua kuwa ufugaji wa mbuni una faida kubwa sana na hauna gharama kubwa kwa sababu mbuni...
4 Reactions
38 Replies
19K Views
Wajuzi wa trakta mpo humu. Fungukeni tupate kujua. Ipi mashine ya ukweli kati ya 855FE na 960FE? Tudokeze na sababu blacksamurai Ulimbo Mkyashinho kidadari DASM Brian72 FURY BORN na wakuu wote
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari ya asubuhi ndugu zangu. Ninahitaji mbegu ya nyanya isiyo na bei ghali lakini inafanya vizuri na kutoa mazao bora. Moja ya changamoto kubwa ya wakulima wa nyanya sasa hivi ni bei kubwa ya...
4 Reactions
24 Replies
23K Views
Wajuzi na wazoefu wa kilimo nataka kununua tractor la kulimia liwe multipurpose kwa kulimia knye mashamba ya mpunga ludewa na mbarali lakini pia kwa kilimo cha mahindi vwawa . Nasikia massey ni...
2 Reactions
24 Replies
11K Views
Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote. Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarin za kazi wana jamvi, nina mpango wa kuanza ufugaji wa bata mzinga ila sina taaluma juu ya hao bata naomba kupewa elimu kuhusu ufugaji, pia changamoto na upatkanaji wa masoko Nawasilisha...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Kama picha inavyojieleza, naomba mwenye ufahamu wa aina hii ya mayai. kwa nje yana shell yenye rangi nyeype. Ukilivunja kiini ni njano kawaida ila chepesi mno kiasi kwamba unachanyanyika na ute...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za majukumu wanajamvi, Ninahitaji Ngombe wa maziwa Singida mjini awe ndama, mtamba au mwenye mimba. Au kwa anaejua wapi ntaweza kupata maeneo ya karibu anipe maelekezo, Natanguliza...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari Kuinstall drip irrigation system inaweza kugharimu kiasi gani kwa hekari moja ya shamba? Nipo Morogoro mjini,na je ntawapata wapi wataalamu ya kazi hii
1 Reactions
15 Replies
13K Views
Je, unapenda kufuga samaki? Basi, Masamaki zoo wanakuletea makala ambazo zitakupa mwanga wa pakuanzia ili uweze kuanza kufuga samaki kama wewe ni mpenzi wa ufugaji wa samaki. Makala hizo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom