Tuanze Upya: Wadau,Wenye nia na wanaotaka jifunza ufugaji wa Nyuki na Uvunaji wa mazao yake

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
2,198
3,566
Poleni na shughuli za kuyatafuta maisha.

Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya wote wanaotaka kujua lolote kuhusu nyuki na mazao yake,tujadili hapa kwa kina kuhusu masuala ya nyuki.

Mimi nina uzoefu kidogo kuhusu sekta hii hivyo naomba kama una swali uliza tupate saidiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUO
Mimi napenda sekta ya nyuki na asali katika kusoma makala mbalimbali naona wengi wanachakachua asali sas mkuu ni wapi panapatikana asali pure bila kuongezwa, sukari au kuchemshwa? Napenda kufanya biashara ya asali na ni kipi chakufanya kama nataka nianze hii biashara maana malengo yangu ni kuwa na mizinga yangu mwenyew na kukamua
 
Kupata asali safi kabisa unapaswa kufuata hatua za ufugaji bora wa nyuki kutoka mwanzoni unaanza mradi

Uchaguzi wa eneo la kufugia
Aina ya mzinga unatumia
Aina ya nyuki
Aina ya miti / maua
Utunzaji wa mzinga
Uvunaji wa asali
Uhifadhi
N.k

Ila ukitaka asali bora kabisa mimi nitakuunganisha na mtandao wa wauzaji wa asali bora kabisa.

Karibu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mizinga isiyopungua thelathini huko Mkuranga. Mwaka jana nyuki waliingia kwenye mizinga 27. Lakini mara wakaanza kuhama mzinga mmoja baada ya mwingine. Wakati wa kiangazi tulikuwa tunawatengenezea mchanganyiko wa maji na sukari.

Hivi sasa baada ya mvua kunyesha maji na maua yapo kwa wingi tu. Lakini cha ajabu ni kuwa nyuki wameendelea kuhama, wiki hii wamehama mizinga 3 na hivi sasa wamebaki kwenye mizinga 6 tu. Unafikiri tunaweza tukawa tunakosea wapi mpaka nyuki wanahama namna hii.
 
Mkuu wenda ulipo weka mizinga either pana wadudu kama siafu, mijusi huwa wanakimbiza makundi ya nyuki na pia sehemu uliyo weka mizinga kama ina upepo mwingi wenda inaeza kuwa ni sababu ya kuhama kwa makundi
 
Poleni na shughuli za kuyatafuta maisha.

Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya wote wanaotaka kujua lolote kuhusu nyuki na mazao yake,tujadili hapa kwa kina kuhusu masuala ya nyuki.

Mimi nina uzoefu kidogo kuhusu sekta hii hivyo naomba kama una swali uliza tupate saidiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natafuta mashine ya kukamulia asali tafadhali tuwasiliane katika no hii 0765922761
 
Mimi napenda sekta ya nyuki na asali katika kusoma makala mbalimbali naona wengi wanachakachua asali sas mkuu ni wapi panapatikana asali pure bila kuongezwa, sukari au kuchemshwa? Napenda kufanya biashara ya asali na ni kipi chakufanya kama nataka nianze hii biashara maana malengo yangu ni kuwa na mizinga yangu mwenyew na kukamua
Habari…

karibu tuwasiliane kwa namba 0710329617 pia tembelea page zetu Instagram

Jamani mzinga w nyuki bei gani?
Mzinga ina bei tofauti kutegemea na upatikanaji mbao, nakushauri unaweza kuandaa mbao na kutengeneza lakini ukitaka kununua Sh 120,000/ unapata. Upo mpaka Sh 170,000/ ambao unakuwa na kikinga Malkia
 
  • Thanks
Reactions: 911
Back
Top Bottom