ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 326
Habari,
Naomba ushauri kwa kuvuta nyuki kwenye mzinga. Najifunza ufugaji nyuki na nimejenga mzinga mdogo wa kama futi2 kwa 2.
Nlishauriwa nichome nnta na nimefanya hivo wiki ya pili sasa sioni nyuki hata mmoja. Mzinga wangu nimeufunga juu ya mti. Je nifanyeje ili nyuki waje kwa wingi??
Kuna kitu kingine zaidi ya Nta?
Msaada please