Ufugaji wa bata mzinga

Sep 25, 2018
12
8
Habarin za kazi wana jamvi, nina mpango wa kuanza ufugaji wa bata mzinga ila sina taaluma juu ya hao bata naomba kupewa elimu kuhusu ufugaji, pia changamoto na upatkanaji wa masoko

Nawasilisha kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok wazoefu Wa ufugaji na uuzaji Wa bata mzinga naomba mnijulishe kuhusu masoko?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu soko lake dogo sana yaani asilimia 95 ya watanzania hawajawahi ila ,mimi leo nina 40 lakini sijawahi ona hata nyama yake ila huwa naona watu wnafuga chache (sijawahi ona zaidi ya 10 kwa mtu mmoja)

Mkuu bata mzinga mmoja mkubwa anauzwa 70,000 ,hivi bei hii wangapi wanaimudu? Navyofahamu mm kibongo hafugwi kibiashara bali ka pet au ishara ya utajiri au kujifurahisha tuu ,ila kama nilivyokushauri ni vyema ukatembelea mahotel makubwa ya kitalii nyama ya turkey inapendwa sana na wamarekani infact kule kuna mashamba makubwa kuliko hata ya kuku .
x.jpg

Hili shamba liko Australia

Kwa hapa bongo nimekueleza bata mzinga si kitoweo maarufu ona hapa
1547565435540.png

Umeona mkuu yaani jamaa anafuga kupata tu kitoweo na watoto wakiambiwa mchango wa mlinzi auze mmoja ,ila nisikuvunje moyo nimekusisitiza katembelee mahotel makubwa
 
Mkuu soko lake dogo sana yaani asilimia 95 ya watanzania hawajawahi ila ,mimi leo nina 40 lakini sijawahi ona hata nyama yake ila huwa naona watu wnafuga chache (sijawahi ona zaidi ya 10 kwa mtu mmoja)

Mkuu bata mzinga mmoja mkubwa anauzwa 70,000 ,hivi bei hii wangapi wanaimudu? Navyofahamu mm kibongo hafugwi kibiashara bali ka pet au ishara ya utajiri au kujifurahisha tuu ,ila kama nilivyokushauri ni vyema ukatembelea mahotel makubwa ya kitalii nyama ya turkey inapendwa sana na wamarekani infact kule kuna mashamba makubwa kuliko hata ya kuku .View attachment 995437
Hili shamba liko Australia

Kwa hapa bongo nimekueleza bata mzinga si kitoweo maarufu ona hapa
View attachment 995440

huyo jamaa was chini anafugia wapi
yaani huyo mbongo
 
Mimi nilikua ninafuga ila sio kwa kiwango kikubwa mwaka huu mwanzoni nilisitisha huwa ninawachanganya na kuku sasa kukawa na jogoo mmoja msumbufu sana akawa anadisturb mayai yake pamoja na kupigana.
Ndani ya miaka minne niliuzia hotel za kitalii na mara nyingi wanapima kwa kilo kwamfano mwaka juzi walihitaji kilo kumi nikachinja wawili wakawa na kilo 4.5 kila moja, mwaka jana wakahitaji kilo 5 nikachinja mmoja akawa na 5.5. Shida ya soko lake ni kama huyu jamaa alivyoelezea kwamba ni gumu sana. Huwa mwishoni mwa mwaka December kuna sikukuu ya hao Bata mzinga ndio maana wakija wageni wenye uhitaji ndio hugeuka kuwa soko. Kwa kila kilo huwa ninawauzia 30k na hapo kwa boss wao walipigapo kama 50k kwa kilo sasa sijui huyo mgeni aliuziwa dollar ngapi kwa kilo.
Nyama yake ni tamu sana ila pia uzingatie chanjo zao aina yao maana nilishaona mbegu nyingine ndogo sana huwa hawakui watakukata kwenye kilo.
Kama kuna wadau wa soko lake nje ya nchi tujuzane ili tuweze kuona faida ya hawa viumbe hapa kwetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom