Utaalamu wa visima

Nyamtukila

Member
Dec 9, 2017
29
5
Wadau wote mnaoelewa habar za uchimbaji wa visima, nahitaji kisima kwa ajili ya umwagiliaji shambani, Je Kisima kilichochimbwa vizur kinaweza kutoa maji kias gani kwa siku ikiwa maji yatatolewa yote muda wote kwa siku?
 
Mimi kukujibu ili chaji yangu ya simu na bando liishe kidogo. Sikujibu kama mtaalam.
Usitake kuoteshwa ndoto wakati upo macho.
Pima uwepo wa maji kwenye shamba lako. Yawezekana ukachimba ukaambulia maji ya kulainisha udongo tu ambayo hutumiwa wakati wa kuchimba
 
Wadau wote mnaoelewa habar za uchimbaji wa visima, nahitaji kisima kwa ajili ya umwagiliaji shambani, Je Kisima kilichochimbwa vizur kinaweza kutoa maji kias gani kwa siku ikiwa maji yatatolewa yote muda wote kwa siku?
Tunachimba visima vya maji bei ni kwa wateja wa Dar es salaam elfu sabini kwa mita moja bomba Inchi 4.5 na elfu themanini kwa mita moja bomba inchi 5 na kwa wale walioko mkoa wa pwani bei ni elfu themanini kwa mita moja bomba inchi 5 na kwa wale walioko mikoani bei ni laki na ishirini kwa mita moja

Nb: wateja wote ambao ardhi ya site zao zinamiamba migumu tutawachimbia kwa mita moja laki na ishirini

bei zote hizo utawekewa bomba (pvc), pampu pamoja na vifaa vyake bure pamoja ma kusafishiwa kisima chako
kwa mawasiliano 0625576082
 
ivi kwanini hii huduma ina bei sana?
 
Wadau wote mnaoelewa habar za uchimbaji wa visima, nahitaji kisima kwa ajili ya umwagiliaji shambani, Je Kisima kilichochimbwa vizur kinaweza kutoa maji kias gani kwa siku ikiwa maji yatatolewa yote muda wote kwa siku?
Inategemea na location Mkuu

Kama unachimba mahali ambapo water table ipo karibu utapata maji haraka bila kuingia ndani sana.

Na kama unachimba mahali ambapo kuna chemchem nyingi za chini pia utapata maji mengi kuliko mahali penye chemchem moja au chache.
 
Kwa uzoefu wako,baada ya kupima upatikani kabla ya kuchimba unaweza kujua kama vipimo vinaonyesha chumvi au la. Nina eneo kama eka 8 hivi nilidhani kama inawezekana kuchukua sampuli nyingi,halafu tunachagua iliyobora.
 
hapo kwenye kujua kama maji ni ya chumvi au la ndio mtihani ,je huku kibaha kwa mathias vp mtaalam bei ikoje uchimbaji wa kisima maeneo haya ,kutokana na uzoefu wako?
 
Kwa uzoefu wako,baada ya kupima upatikani kabla ya kuchimba unaweza kujua kama vipimo vinaonyesha chumvi au la. Nina eneo kama eka 8 hivi nilidhani kama inawezekana kuchukua sampuli nyingi,halafu tunachagua iliyobora.
Kama ni kupima kiwango cha chumvi, magadi etc. Watakupimia tu wachimbaji na watakupa taste ya maji ya mwsho.
 
Binafsi nilikua na wazo la kuchimba kisima shambani, lakini kila nikifikiria guarantee ya kupata maji yasiyokua na chunvi milele, naona bora nichimbe lambo kubwa nivune maji ya mvua, pia nitapunguza gharama.
 
WATAFTE PDPR NJOMBE HAWA JAMAA WAKO POA SAAANA NI WATALAAMU NAZANI WATAKUSAIDIA SAANA HAO NI WATALAAMU NA BEI ZAO ZIKO CHINI SAANA NA HUDUMA YAO NI QUALITY BALAA
 
Binafsi nilikua na wazo la kuchimba kisima shambani, lakini kila nikifikiria guarantee ya kupata maji yasiyokua na chunvi milele, naona bora nichimbe lambo kubwa nivune maji ya mvua, pia nitapunguza gharama.
Acha ubahiri, maji ya mvua sio mazuri kwa miaka hii, carcinogenic element ni nyingi, kutokana na pollutions mkuu.

Chimba kisima
 
Tunachimba visima vya maji bei ni kwa wateja wa Dar es salaam elfu sabini kwa mita moja bomba Inchi 4.5 na elfu themanini kwa mita moja bomba inchi 5 na kwa wale walioko mkoa wa pwani bei ni elfu themanini kwa mita moja bomba inchi 5 na kwa wale walioko mikoani bei ni laki na ishirini kwa mita moja

Nb: wateja wote ambao ardhi ya site zao zinamiamba migumu tutawachimbia kwa mita moja laki na ishirini

bei zote hizo utawekewa bomba (pvc), pampu pamoja na vifaa vyake bure pamoja ma kusafishiwa kisima chako
kwa mawasiliano 0625576082
Bado unafanya kazi hizi?.kwa uzoefu wako buyuni- kigamboni inaweza kuwa mita ngapi ili kufikia maji?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom