Nipo Iringa inavyoelekea mwaka huu Mahindi hayashikiki. Ikiwa ni kipindi cha mavuno(June -July), bei ya debe inacheza kati ya elfu 13 hadi 14. Lita ya mafuta ya alizeti ni kati ya 5000 na 5500...
Zinahitajika haraka, mbegu za Vibuyu (Calabash Seeds) siyo Maboga, nasisitiza Kibuyu, hivyo kwa yeyote mwenye nazo au anayemfahamu aliyenazo awasiliane na What's App/Simu +255622 642620.
Ushauri...
Jirani yangu tumepakana viwanja, aliamua kupanda mihogo kwenye kiwanja chake akivuta nguvu ya kujenga. Akitafuta mbegu inaitwa kikombe.
Juzi alipata mnunuzi aliyetaka Kuip ja kwanza...
Ufugaji ni Utajiri
Ufugaji siyo kuku na nguruwe.
Tuamke
kilimo ni mali
Tutunze pesa zetu kwa muda mrefu ili tupate pesa ya kununua Ardhi, vifaa vya shamba kama Trector. miundobinu. nyumba. maji...
HISTORIA YA ZAO LA MKONGE
Zao la mkonge liliingizwa nchini Tanganyika mwaka 1892 na mtaalamu wa kijerumani Dr. Richard Hindorff ambaye alikuwa ni mtafiti wa mimea na udongo.
Mtaalamu huyo...
Ufugaji hasa wa kuku ni gharama sana na Chakula huchukua asilimia zaidi ya 70 ya gharama zote za matunzo ya kuku.
Feeding coast ziko juu mno, na hazishuki bali zinapanda kila kukicha na wafugaji...
Dripp and irrigation systems installation tuna funga mifumo ya kisasa ya umwagiliaji na pia ukiitaji vifaa na machine za mashambani zinapitakana. We are providing irrigation installation services...
Siku za nyuma kulikuwa na shuhuda nyingi kuhusu zao la parachichi. Lakini ghafla kama ka upepo kamehamia kwenye Alizeti. Vipi bei imeyumba au?
Maana Watanzania tunapenda sana kufanya vitu kwa...
Kuanzia jana ilikua ni kicheko kwa wakulima hasa wa mikoa ya Pwani, Tanga na morogoro baada ya Mvua kurejea tena,
Wakulima walikua wamekata Tamaa, Mazao yalikua yanakufa na jua, ila Mvua...
Karibu sana kwa kunimiss muda mrefu sasa nimerudi tena kwa nguvu mpya, hali mpya na Kasi ya ajabu.
Kilimo biashara kwa manufaa ya vijana na taifa kwa ujumla. [emoji123]
Majani haya yaitwayo mchunga hupendwa sana kuliwa na sungura kwani ni machungu,japo baadhi ya watu huyatumia kama mboga.je kuna upatikanaji wa mbegu zake katika maduka ya pembejeo?
Jaman wanajamvi hii changamoto ya sisimizi ndani mnaifanyajr fanyeje.
Kuna dawa yeyote ya kuondoa sisimizi ambayo sio sumu manake naogopa watoto wadogo waliopo ndani kwangu.
Msaada plz
Habari wakuu, na kitalu Cha mbegu ya miti aina ya mitiki lugoba, nmepanda shambani kwangu imetoshelea, sasa kitalu bado kina miti mingi hivo karbuni sana mwenye kuhitaji kwa bei nzuri kabisa
Uhalisia wa kilimo kiitwaacho cha kibiashara (agribusiness). Kwa uelewa wa wengi ni kutumia mbolea za viwandani kwa wingi, madawa kwa wingi kwa ajili ya kuuwa wadudu. Pia ipo mbolea (kemikali)...
Je, maeneo gani nchi hii yanakubali zaidi hasa ndimu? Huchukua muda gani toka kupanda mapaka mavuno na garama zake ni kiasi gani kwa heka?
Karibuni wadau.
Wakuu Mimi ni kijana mpambanaji na mwaka huu nilitaka kujikita katika kilimo Cha mpungaa kwa umwagiliaji na nimependekeza kulimia Kapunga/morogoro
Hivyo basi naombeni muongozo katika hio
a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.