Zogoo da khama JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 640 Reaction score 615 May 18, 2022 #1 Habari wadau wa kilimo, naomba kufahamishwa bei ya alizeti kwa kilo moja au kwa tani, iwe msimu huu au uliopita?
Habari wadau wa kilimo, naomba kufahamishwa bei ya alizeti kwa kilo moja au kwa tani, iwe msimu huu au uliopita?
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,677 Reaction score 24,393 May 18, 2022 #2 Nasubiri. Me pia nahitaji kutahamishwa.
M Mbilikimo Mfupi JF-Expert Member Joined Nov 11, 2015 Posts 979 Reaction score 1,225 Jun 10, 2022 #4 Songea Kisado (wenyeji wanaita DUMLA) kinauzwa 1500-1800. Gunia la kilo 100 ni sawa na sado 30 Sado moja ni kilo 4
Songea Kisado (wenyeji wanaita DUMLA) kinauzwa 1500-1800. Gunia la kilo 100 ni sawa na sado 30 Sado moja ni kilo 4