Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Je, maeneo gani nchi hii yanakubali zaidi hasa ndimu? Huchukua muda gani toka kupanda mapaka mavuno na garama zake ni kiasi gani kwa heka? Karibuni wadau.
0 Reactions
39 Replies
36K Views
Wakuu Mimi ni kijana mpambanaji na mwaka huu nilitaka kujikita katika kilimo Cha mpungaa kwa umwagiliaji na nimependekeza kulimia Kapunga/morogoro Hivyo basi naombeni muongozo katika hio a...
1 Reactions
36 Replies
13K Views
Habar natumaini mu wazima Nguruwe wangu anatoa ute mweupe sehemu yake ya Uke Kiumri ana miezi 8. Naomba kujua hiki kinaashiria nini? NB:hajawahi kupandwa wala kubeba mimba
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kenya Itaanza kusafirisha Maparachichi Yake Nchini China Mwaka Huu Na Tom Wanjala Halmashauri ya Kilimo na Chakula nchini Kenya imefanya mabadiliko kwenye matakwa ya maparachichi ya kuuzwa nje...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada mimea yangu ya pilipili mwendokasi, matunda ambayo hayajaiva yanaonyesha hali ya rangi kama ubluu hivi (nimeambatanisha picha ) hilo ni kawaida au ni ukosefu wa nini. Natakiwa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Yaani kilimo ambacho kimiajiri wananchi asilimia 85% kimetengewa billion 751 wakati wizara ujenzi na uchukuzi imetengewa TRILION 03 sasa hapa kuna nini? Utakuwa umeondoa umaskini wa hiyo...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Utitiri ni wadudu wadogo sana weupe hutokea kwenye mabanda ya kuku. Unapookota mayai au kufagia banda wanakurukia. Sijafahamu wanatokana na nini lakini huwa wanakera sana. Ukitokea msiba...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Wandugu nataka kulima maboga. Nahitaji kujua zaidi kuhusu Kilimo hichi wakuu.
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari za majukumu! Jamani naomba kujua ni sehemu gani( mkoa au wilaya) ambayo ni nzuri kwa kilimo chochote iwe mahindi,mpunga,karanga,alizeti nk. Nataka nijikite rasmi kwenye kilimo ila kabla...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Niko kwenye majaribio ya kilimo cha papai,aina ya malkia F1, nilinunua packet moja ya mbegu, ambayo ina mbegu 80, hatua ya kwanza niliziloweka kwenye chombo chenye maji safi kwa muda wa suku 5 na...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wakulima wenzangu wa tumbaku. Mimi ni mkulima na pia nafanya biashara ya mazao yatokanayo na tumbaku Mkoa Tabora na Mpanda. Kwa Sasa tupo kwenye msimu wa soko la tumbaku Kama...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunaomba mwenye document ya bajeti ya Wizara ya Kilimo aitupie hapa tuichambue na kuijadili kwa mustakabali mzima wa Kilimo hapa nchini
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Twende kwenye mada moja kwa moja. Mwenye uzoefu na kilimo cha iliki naomba afanye kushea na sisi hapa jukwaani maana naona kina bei kubwa Sana kwa kilo sokoni Kati ya sh.15,000 hadi 20,000/kg...
1 Reactions
34 Replies
13K Views
Halo wakubwa Naomba msaada nguruwe wangu kadumaa. Je, nimlishe nini au nifanyeje arudi kwenye hali yake kawaida.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
JE, BANDA LA UKUBWA GANI LINATOSHA KUKU WANGU? Hili ni swali rahisi sana lakini cha kushangaza, limekuwa linasumbua sana wafugaji wengi. Watu wanajijengea mabanda kiholela na kuishia kuwa na...
4 Reactions
5 Replies
8K Views
Naam mm ni mkulima ambae nimekua nikilima mihogo sana, sasa naona ardhi yangu inaanza kupunguza uzalishaji. Nimewahi kuskia nikilima mihogo pamoja na mazao mengine yanayoendana yataongeza rotuba...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mada tajwa hapo juu Wakuu mwenye ujuzi hapo au uzoefu wa dawa nzuri ya hawa wadudu anisaidie. Wananipa kipigo kitakatifu mno
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya matunda huwa watu wanayachukulia poa sana, haya matunda ni ghari sana kwa nchi za ulaya hasa Scandnavia countries na yanatoka South America hasa Colombia ambako ndo wazalishaji wakuu wa...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wadau, Ninatarajia kupata 20m na nahitaji inizalishie minimum 10m ndani ya mwaka mmoja kupitia kilimo. Je, nilime au nijihusishe na nini ili nifikie lengo langu kupitia kilimo au ufugaji...
6 Reactions
48 Replies
9K Views
Kilimo cha parachichi kimekua n fursa sana kwa vijana kulingana na uhalisia wa soko kubwa lililopo ndan na nje ya nchi. Unaweza kutengeneza pesa kwa kuuza miche ulio iandaa au kuiotesha wewe...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom