Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

JF Prefixes:

Tume inayosimamia mawasiliano nchini Uganda (UCC) imeandika barua kwa kampuni ya Marekani ya Google, ikiitaka kampuni hiyo ifunge stesheni kadhaa za televisheni zinazopeperusha matangazo yake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Polisi Uganda wamkamata mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu ambaye ni mkosoaji wa serikali. Hata hivyo polisi wamewaruhusu mawakili wa mwanaharakati huyo maarufu Nicholas Opiyo kuzungumua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka ujao 2021 Museveni anaenda, hatoboi Muzungu keshamchoka na sasa na hatomkingia kifua tena, color revolution imeingia Uganda, kutatokea maandamano makubwa nchini Uganda ambayo hayajawahi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Watanzania tumetoka katika uchaguzi siku chache zilizopita lakini jirani zetu wa Uganda wanaelekea katika uchaguzi siku chache zijazo. Mlio na nafasi jaribuni kufuatilia katika TV za Uganda hasa...
0 Reactions
1 Replies
740 Views
Due to the surging Covid-19 infections and persistent violation of Standard Operating Procedures (SOPs) by some political candidates, the Electoral Commission (EC) has suspended campaign meetings...
1 Reactions
1 Replies
884 Views
Pendekezo la viongozi wa dini ya Kikristo nchini Uganda kutaka uchaguzi uahirishwe kwa miaka mitatu limepokelewa kwa maoni mbalimbali. Viongozi wa kidini wamejitokeza na wazo hili wakisema kuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Pendekezo la viongozi wa dini ya Kikristo nchini Uganda kutaka uchaguzi uahirishwe kwa miaka mitatu limepokelewa kwa maoni mbalimbali. Viongozi wa kidini wamejitokeza na wazo hili wakisema kuna...
0 Reactions
Replies
Views
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa limesema zaidi ya wakimbizi milioni 1.2 nchini Uganda watapunguziwa mgao wa fedha na chakula kuanzia mwezi Februari kutoka kwa wafadhili wa...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametishia kutumia nguvu zote kukabiliana na wanasiasa wa upinzani aliosema wanatishia wafuasi wake wa chama cha National Resistance Movement (NRM). Museveni amesema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiukweli nimeamini na nimekubali kuwa katika ulimwengu wa siasa Tanzania inafuata utawala wa sheria. Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema ataongea na Jaji mkuu wa nchi hiyo ili kufuta dhamana...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Bob Wine ameingia kwenye siasa za upinzani wa kweli nchini Uganda sasa ni miaka 3.kwa muda huo mfupi ameonyesha kumpinga rais wa Uganda mh Mseven kwa vitendo bila kuogoapa. Mseven kwa kutumia...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari Wana Kijiji, Habari za hivi punde zilizo wasilishwa na wana familia sambamba na vyombo vya habari ni kuwa "NAIBU WAZIRI MKUU WA UGANDA MR. ALI KIRUNDA KIVEJINJA" afariki dunia. Mungu...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye anawania muhula wa sita madarakani, amesema kwamba hajaona mtu mwenye uwezo wa kuongoza Uganda kwa sasa, na hivyo ataendelea kuwa madarakani kwa sababu wapiga...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC. Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais...
0 Reactions
36 Replies
27K Views
Tume ya Mawasiliano ya #Uganda (UCC) iliitaka Google ifunge YouTube Channels 17 ikiwemo Ghetto TV inayomilikiwa na Bobi Wine kwa madai kuwa zilitumika kueneza machafuko yaliyotokea hivi karibuni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Redirect
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC. Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais...
0 Reactions
Replies
Views
Rais Museveni amteua tena mwanae kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi. Rais Yoweri Museveni wa Uganda ambaye pia ni amiri jeshi mkuu amefanya mabadiliko katika jeshi la Uganda (UPDF)na kumrejesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uganda's only female presidential candidate Nancy Kalembe has suspended campaigns over lack of funds. Ms Kalembe made the announcement while appealing for funds from the public. She said she was...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Museveni: Sijaona wa kumuachia nchi Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ambaye anawania muhula wa sita madarakani, amesema kwamba hajaona mtu mwenye uwezo wa kuongoza Uganda kwa sasa, na hivyo...
1 Reactions
Replies
Views
The Ministry of health has confirmed 701 new cases of Covid-19, the highest the country has ever registered since the pandemic outbreak in March this year. A statement from the ministry shows...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom