Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Juzi karibia Watu wengi tulipigwa na butwaa hasa pale ambapo tuliambiwa kuwa Vifaranga waliokamatwa wote wamepigwa moto tena bila huruma wala nini tukadhani haya mapungufu yapo tu huku Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kitendo cha Rais wa Uganda kulazimisha kutawala milele kwa gharama yoyote , kinafedhehesha sana Jumuiya ya Africa Mashariki na kudhalilisha mno wananchi wa Uganda . Ikumbukwe kwamba jambo hili...
7 Reactions
45 Replies
6K Views
Madaktari nchini Uganda wamepiga kura kusitisha mgomo wa wiki tatu baada ya serikali kuahidi kuongeza mshahara na kuboresha mazingira ya kazi kwenyeHospitali za umma mwezi ujao Jumla ya kura 113...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The East African Community’s (EAC) ultimate goal of political federation is being held back by differences over presidential term limits, term durations and age limits in partner states, a member...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Gashumba (white T-shirt) paraded in front of the press. On the desk are several items like stamps and passports that the army said were used to pursue fraudulent activities. The army has today...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UGANDA: Spika wa Bunge amlima barua Rais Museveni akitaka maelezo kwanini Maafisa Usalama waliokuwa wamevalia kiraia walivamia Bunge. --------- The Speaker of Parliament, Ms Rebecca Kadaga, has...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
On this day, 48 years ago, Sir Fredrick Edward Kabaka Mutesa the first President of Uganda collapsed and died in London. Kabaka, once a powerful ruler of the Baganda people, but reduced in his...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
October 24, 2017 patrick Mahakama ya Kampala leo imemtoza mbunge wa Manispaa ya Arua Ibraham Abiriga faini ya Sh40,000 kwa kosa la kujisaidia haja ndogo hadharani. Amepewa adhabu hiyo baada ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kizza Besigye, amekamatwa na polisi nchini humo kufuatia sakata la baadhi ya wabunge na wananchi nchini humo kupinga suala la ukomo wa urais. Dr. Besigye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Striking doctors have said they can return to work as negotiations on their demands continue if three key conditions are met, and surprisingly the trio doesn't include the pay raise. On the pay...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkutano wa dharura uliofanyika kati ya Chama Cha madaktari wa Uganda na Waziri Mkuu wa Nchi hiyo umeshindwa kufikia makubaliano Mkutano huo uliohudhuriwa na Waziri Mkuu Ruhakana Rugunda na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Magufuli to lay EA oil pipeline foundation stone in Hoima The Independent November 6, 2017Business, The News Today Leave a comment 290 Views FILE PHOTO: Museveni (middle) and Magufuli (right)...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais Yowei Museveni aliwaambia maelfu ya waumini wa Kikatoliki jana kwamba Papa Francis alimfanya maombi mkono wake ulipovunjika na ukapona. Museveni ambaye amekuwa rais wa Uganda kwa zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Habari hii nimeitohoa kutoka kwenye moja ya thread inayozungumzia Historia ya "Shekilango" , ndani yake imeelezea kwa ufupi ni kwa namna gani serikali ya Tanzania iliipigania Uganda. Watanzani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tume ya mawasiliano nchini Uganda (UCC) imepiga marufuku kwa vyombo vya habari nchini humo kufanya 'interview' na mwanamuziki Bobi Wine, baada ya kuonekana kinara kwenye suala la kupinga ukomo wa...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Mhh, huyu mama katoa mpya! Yaani hata nashindwa kuelewa alimaanisha nini kwa hii kauli yake. Janet Museveni na mabinti zake. MKE wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Janet Museveni amesema kuwa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kwa kile kinachoonekana kuwa hali imekuwa tete nchini Uganda, baada ya mchakato kwa kubadili vifungu vya katiba vitakavyomwezesha Rais Mu7 kuwa na nafasi zaidi ya kugombea Urais wa nchi hiyo...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Ninachokionaa leo ni muendelezo tu, niko Uganda nako huku Nakumatt wamefungiwa na URA branch tatu kwa kutolipa kodi na kutowalipa waliokuwa wakipeleka bidhaa. Baada ya kutonywa hali halisi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanafunzi wasichana watano wa 'Standard school' wamelazwa hospitalini baada ya moto kuwaka na kuchoma bweni zima la wasichana, wanafunzi wa 'senior four (S4) siku ya alhamisi. Tangu hapo Polisi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kweli malipo hapahapa duniani Baadaa ya kukamata watu ovyo kufurahisha kupata wahusika waliomuua igp wa Uganda hon kaweesa hatimae koti imewaachia huru Pamoja nakuwaachia huru wefungua kesi kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom