Uganda unveils its tallest building - 23 storey URA Tower in Kampala

Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
49,525
2,000
23..?
Byt Uganda is very Beutyfully.
See from the pictures
 
Statarea

Statarea

JF-Expert Member
899
1,000
Kampala iko vizuri kimazingira japo ushamba mwingi
 
A

adebisi

Member
81
125
Kampala Mji wa kishamba sana ... hauleweki ..too much dusty..too much Boda Boda...miundombinu mibovu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ngamba

Ngamba

JF-Expert Member
732
225
Kampala Mji wa kishamba sana ... hauleweki ..too much dusty..too much Boda Boda...miundombinu mibovu

Sent from my iPhone using JamiiForums
kAMA Kampala mji wa kishamba lkwenu pakoje???????????? mbuu too much bodaboda, hii kwetu ni usafiri wa kawaida na unakufikisha mahari uendapo salama , bei nafuu,na haraka
 
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
2,903
2,000
kAMA Kampala mji wa kishamba lkwenu pakoje???????????? mbuu too much bodaboda, hii kwetu ni usafiri wa kawaida na unakufikisha mahari uendapo salama , bei nafuu,na haraka
Mbona hapo kwenye miundombinu mibovu haujasema chochote?
 
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
2,869
2,000
Dah! Hongera zao. Wakati wao wako kwenye floor ishirnini, sie tuko huku!
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
28,804
2,000
Wajitahidi wasigombane na kagame ataliporomosha
 
MasterP.

MasterP.

JF-Expert Member
6,570
2,000
Kampala Mji wa kishamba sana ... hauleweki ..too much dusty..too much Boda Boda...miundombinu mibovu

Sent from my iPhone using JamiiForums
...ila warembo si haba kama watutsi vile....
 
Forum statistics

Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom