Wizara ya Utalii yatangaza rasmi kuwa itawatumia wanawake wenye maumbo mazuri kuvutia watalii


MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Messages
1,303
Points
2,000
MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2017
1,303 2,000
1549542030765-png.1015798Serikali nchini Uganda kupitia Wizara ya Utalii nchini humo imetangaza rasmi kuwa itawatumia wanawake wenye maumbo mazuri katika kuvutia watalii nchini humo.

Hayo yametangazwa Juzi Februari 5, 2019 na Waziri wa Utalii nchini humo, Godfrey Kiwanda wakati akizindua shindano la ‘Miss Curvy Uganda’, ambapo amesema wanawake wote watakaoshindana mwaka huu watatumika kama vivutio vya utalii.

“Tumejaaliwa kuwa na wanawake wenye maumbo mazuri na ya asili kwanini tusiwatumie kutangaza utalii ile hali wapo nchini mwetu. Tutawatumia wanawake wote watakaofanya vizuri kwenye shindano hili.“amesema Bwana Kiwanda.

Shindano la ‘Miss Curvy’ nchini Uganda limezinduliwa juzi katika hoteli ya Mestil jijini Kampala na tayari wanawake wanaharakati wameanza kupinga mashindano hayo kwa kudai kuwa yanadhalilisha wanawake.
 
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
2,659
Points
2,000
Age
35
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
2,659 2,000
View attachment 1015798


Serikali nchini Uganda kupitia Wizara ya Utalii nchini humo imetangaza rasmi kuwa itawatumia wanawake wenye maumbo mazuri katika kuvutia watalii nchini humo.

Hayo yametangazwa Juzi Februari 5, 2019 na Waziri wa Utalii nchini humo, Godfrey Kiwanda wakati akizindua shindano la ‘Miss Curvy Uganda’, ambapo amesema wanawake wote watakaoshindana mwaka huu watatumika kama vivutio vya utalii.

“Tumejaaliwa kuwa na wanawake wenye maumbo mazuri na ya asili kwanini tusiwatumie kutangaza utalii ile hali wapo nchini mwetu. Tutawatumia wanawake wote watakaofanya vizuri kwenye shindano hili.“amesema Bwana Kiwanda.

Shindano la ‘Miss Curvy’ nchini Uganda limezinduliwa juzi katika hoteli ya Mestil jijini Kampala na tayari wanawake wanaharakati wameanza kupinga mashindano hayo kwa kudai kuwa yanadhalilisha wanawake.
Mmmh!! wanawake wamekua kama masokwe kuvutia watalii huo niudhalilishaji wa jinsia ya kike.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
2,010
Points
2,000
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
2,010 2,000
do you remember those days of slaves...
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
6,928
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
6,928 2,000
Shule ya nini kwa Mwanamke? atakula kwa Jasho ni Mwanaume, Sasa acha curves zilipe UGANDA, sio hata wao wanapenda. Allow them to do what they like in a manner that UGANDA benefits
 
S

Statarea

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2018
Messages
290
Points
500
S

Statarea

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2018
290 500
Tumia ulichonacho, hawana bahari, hawana ndege, hawana hela wanasura mbaya LAKINI WAMEJAALIWA MATAKO wacha wayatumie.

Tabia za wazungu wa Denmark na Sweden za kuwaowa ziendelee
 
stella1975

stella1975

Senior Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
192
Points
250
stella1975

stella1975

Senior Member
Joined Nov 25, 2018
192 250
Serikali Ya Uganda imetangaza rasmi kuwa wanawake wanono wote watatafutwa popote walipo ili kuajiriwa katika maeneo Ya utalii Kwa ajiri Ya kuwavutia watalii kukimbilia Uganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
2,675
Points
2,000
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
2,675 2,000
picha za hao wanono ziko wapi ?
 
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
12,689
Points
2,000
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
12,689 2,000
Wanono kwenye makalio, yaani wenye makalio makubwa.. Big booty baby.. 😋😋😋 sio unene wa kama michelini au BBW.. So wenye mat@ko yalionona vizuri watapata kazi za utalii..!! 💓💕💞 Ni idea nzuri sanaaa..!!
 
1

100miles

Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
30
Points
125
1

100miles

Member
Joined Oct 30, 2018
30 125
Wanono kwenye makalio, yaani wenye makalio makubwa.. Big booty baby.. sio unene wa kama michelini au BBW.. So wenye mat@ko yalionona vizuri watapata kazi za utalii..!! Ni idea nzuri sanaaa..!!
Nimecheka sana,, maana sio kwa kuonesha mkazio huku,, unakazia kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Messages
5,051
Points
2,000
Age
28
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2014
5,051 2,000
Nimeona video ya mfano hao wanono wakitembea nimegundua mwanamke mwembamba anamvuto kuliko mnene.
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
24,092
Points
2,000
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
24,092 2,000
Nitaenda kutalii huko nibebe na mpira ule wa kutandika kitandani tusuharibu godoro
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
2,170
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
2,170 2,000
Wanawake mpaka karne hii bado wana zalilishwa hilo sio wazo zuri...
 
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
12,689
Points
2,000
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
12,689 2,000
Nimeona video ya mfano hao wanono wakitembea nimegundua mwanamke mwembamba anamvuto kuliko mnene.
Jipe moyo.. Sie wanaume ndio tunajua utamu na umuhimu wa mkia wa kondoo..!! Sasa utalii ndio utakuwa zaidi Uganda kwa kuweka wanawake big booty Ass
 
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
10,405
Points
2,000
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
10,405 2,000
Nimeona video ya mfano hao wanono wakitembea nimegundua mwanamke mwembamba anamvuto kuliko mnene.
Vimbaumbau kwa kujitia moyo hamjambo, fikiria taabu unazopata na kuteseka mjini hapo ulipo na mademu wenye mikia yao maisha yalivyo mteremko..!

Reaction yako unaonekana uko obsessed na wadada vipusa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
1,751
Points
2,000
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
1,751 2,000
Nadhani kuna kamtandao ka biashara ya kuongeza makalio kanaendelea kimya kimya huko Ug.
Wanono kwenye makalio, yaani wenye makalio makubwa.. Big booty baby.. sio unene wa kama michelini au BBW.. So wenye mat@ko yalionona vizuri watapata kazi za utalii..!! Ni idea nzuri sanaaa..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
12,689
Points
2,000
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
12,689 2,000
Usiwasemee wenzio
Waulize Uganda sio mm, ndio wamesema.. Ww utakuwa mat@koless ndio maana..
Big booty ni business kubwa sana.. Tunanunua daily, hasa ktk utalii...

curvy-jpg.1016589

The East African
Uganda 'unveils' new tourist product - curvy, sexy women
Curvaceous women as a product is the latest Ugandan tourism initiative.
Uganda Miss Curvy
State Minister for Tourism Mr Godfrey Kiwanda with Ugandan models at the launch of ‘Miss Curvy Uganda’ at a Kampala hotel on February 5, 2019. PHOTO | GODFREY LUGAAJU | NMG

By DAILY MONITOR


More by this Author
IN SUMMARY

Curvaceous women as a product is the latest Ugandan initiative to attract foreign currency.
Advertisement

The Ministry of Tourism has added curvy and sexy Ugandan women to its list of tourism products to attract foreigners.

The State Minister for Tourism, Mr Godfrey Kiwanda, Tuesday launched a beauty pageant dubbed ‘Miss Curvy Uganda’ to pick women to promote tourism with the finalists selected in June.

Mr Kiwanda unveiled the initiative, part of the Tulambule (let’s explore) promotion, at Mestil Hotel in Kampala by waving a flag while women in sleek and tight-fitting clothing walked around the poolside taking pictures with the event organisers including with the junior minister.

“We have naturally endowed nice looking women that are amazing to look at. Why don’t we use these people as a strategy to promote our tourism industry?” Mr Kiwanda posed, pointing at “a sample” of beautiful women.

Tourism is Uganda's top foreign exchange earner with the country earning $1.4 billion last year, according to government statistics.

Most tourists visit national parks for diverse wildlife species such as gorillas, birds and other animals. The source of Nile River is also a prime attraction including crater lakes and mountains.

In a bid to grow the sector's revenues and attract more tourists, Uganda has added curvaceous women to its lists of tourism products it offers.

Visibility

Ms Ann Mungoma, the lead organiser for the beauty pageant, said she was optimistic that this will enhance the visibility and appreciation of Ugandan people.

“Miss Curvy is an event that will bring out the endowment of the real African woman. It is an exceptional event that will see young ladies showcase their beautiful curves and intellect,” said Ms Mungoma. Only those aged 18 to 35 years are eligible to participate, organisers said.

For a conservative society that Uganda is, with its Ethics ministry often banning festivals and jailing artistes for "promoting sex", the new tourism initiative has attracted mixed reactions.

While some have dismissed the latest initiative as senseless, women activists have reacted strongly creating hashtags like #WeAreNotSexObjects and accused the minister of objectifying women.

"It is not the right approach. But then when you look at social media, people post their pictures and get followers and many likes; those followers could come to Uganda to tour," Ms Leilah Nakabira, an actress said, adding that: "curvy women could post on social media and get followers. Though there should have had better things to look at.”

A woman activist from Bernic Woman said: "It is not the right approach. That is idolising women as objects; like how you look at objects that’s how they will look at women.”

Mr Kiwanda said Uganda had along appreciated women with slim bodies as a hallmark of beauty and the Miss Curvy pageant offers an alternative view.

Ms Mungoma added that the since most pageants celebrate slender and pretty faces, which are a more Western way of defining beauty, most African women are uniquely built which does not make them any less attractive.

Under the campaign, which is thin on details of how it will actually promote tourism in the country, ministry officials would be required to tell stories of the backgrounds of the Ugandan curvaceous beauties as well as the different cultures that would be displayed by the contestants.

Mr Kiwanda has previously declared the Ugandan favourite roadside snack -- a thinly-rolled chapati stuffed with fried eggs, locally known as rolex (derived from roll on eggs)-- a tourist attraction that is now celebrated with an annual festival.

- Additional reporting by The EastAfrican reporter.

MORE FROM THE EAST AFRICAN
US cuts aid to Cameroon over human rights concerns
President orders life sentence for Sierra Leone sex offenders
Five killed in South Africa coal mine blast
Zimbabwe churches try to broker dialogue after opposition snubs Mnangagwa talks
France recalls Italy envoy over 'unprecedented' criticism: foreign ministry
This page might use cookies if your analytics vendor requires them. Accept
 

Attachments:


Forum statistics

Threads 1,295,450
Members 498,335
Posts 31,212,482
Top