Mliokuwa ' mkimcheka ' Rais JPM kwa kupokea Ndege zake ' mchekeni ' pia na Rais Museveni anayepokea Ndege sasa

GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
36,753
2,000
Kuna Watanzania walikuwa na ' dhihaka ' za kila aina ( GENTAMYCINE hayupo ) kwa Rais Dkt. Magufuli hasa pale alipokuwa akizipokea Ndege zako kadhaa zilipowasili na ' wakimcheka ' labda wakimuona ni Mbwigira / Mshamba wakati kumbe ilikuwa ni haki yake kama Rais wa nchi.

Haya hivi sasa Raia wa Uganda Mzee Museveni nae anapokea bonge la ' Dege ' huko Kwake nchini Uganda. Kama vipi mchekeni na mdhihakini na Yeye pia ili tujue kuwa mna ' Usawa ' hasa katika ' Ukosoaji ' wenu na siyo kwamba pengine kuna Watu mna Visununu / Chuki tu kwa Mzee wa Watu Rais Dkt. Magufuli.

Nawasilisha.

Chanzo taarifa: NTV Uganda.
 
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
3,882
2,000
Kwani m7 ndo wakulingabishwa of all people, duh yule nimshamba mkubwa sana Mtu anaeogopa ata kijana mdogo bobwine kufanya tamasha lake la pasaka.....nimshamba wa madaraka alizoea kukaa porini na ngombe
 
R

Retired

JF-Expert Member
22,701
2,000
Who is Museveni? Ni dikiteita kama mwenzake, matendo yao ni hayo hayo!
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
6,133
2,000
Wale wale kama babako kichaa hawezi kua jambo la kawaida kisa bababgu kawa kichaa pia
 
C

Capt Tamar

JF-Expert Member
9,909
2,000
Magu,mu7,kagame,nkurunziza! Hawa wote wapo kwenye shimo moja! Hakuna wa kumcheka mwenzie! Wangefanya hivyo wadogo zetu akina zambia au Malawi kweli tungesherehekea pamoja nao!maana ni haki yao!
 
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
1,526
2,000
Huko uganda nadikia watu wana zibeza zile Crj 900 wakidai ya kuwa ndege zile ni ghrama sana kuzi repair na ukizingatia kwa afrika uganda ndio wakwanza ku operate ndege izo na ata juzi walivyokwenda kuzichukua waziri wa usafirishaji wa uganda aliiomba kampuni ya bombadier wakiweza wajenge kituo cha maintainace wa CRJ 900 barani africa ili kuvutiq makambuni mengine wanunue ndege izo ......ss ngoja tutazame picha ...
 
Janken jr

Janken jr

JF-Expert Member
1,128
2,000
Kuna Watanzania walikuwa na ' dhihaka ' za kila aina ( GENTAMYCINE hayupo ) kwa Rais Dkt. Magufuli hasa pale alipokuwa akizipokea Ndege zako kadhaa zilipowasili na ' wakimcheka ' labda wakimuona ni Mbwigira / Mshamba wakati kumbe ilikuwa ni haki yake kama Rais wa nchi.

Haya hivi sasa Raia wa Uganda Mzee Museveni nae anapokea bonge la ' Dege ' huko Kwake nchini Uganda. Kama vipi mchekeni na mdhihakini na Yeye pia ili tujue kuwa mna ' Usawa ' hasa katika ' Ukosoaji ' wenu na siyo kwamba pengine kuna Watu mna Visununu / Chuki tu kwa Mzee wa Watu Rais Dkt. Magufuli.

Nawasilisha.

Chanzo taarifa: NTV Uganda.
Nae ni mshamba.kwa hiyo chizi wawili wakinya hadharani kitendo hicho kinakuwa halali!kisa ni wawili? Nyerere mbona hakupokea ndege?
 
MasterP.

MasterP.

JF-Expert Member
6,571
2,000
Kuna Watanzania walikuwa na ' dhihaka ' za kila aina ( GENTAMYCINE hayupo ) kwa Rais Dkt. Magufuli hasa pale alipokuwa akizipokea Ndege zako kadhaa zilipowasili na ' wakimcheka ' labda wakimuona ni Mbwigira / Mshamba wakati kumbe ilikuwa ni haki yake kama Rais wa nchi.

Haya hivi sasa Raia wa Uganda Mzee Museveni nae anapokea bonge la ' Dege ' huko Kwake nchini Uganda. Kama vipi mchekeni na mdhihakini na Yeye pia ili tujue kuwa mna ' Usawa ' hasa katika ' Ukosoaji ' wenu na siyo kwamba pengine kuna Watu mna Visununu / Chuki tu kwa Mzee wa Watu Rais Dkt. Magufuli.

Nawasilisha.

Chanzo taarifa: NTV Uganda.
Weka picha
 
busha

busha

JF-Expert Member
1,645
2,000
jibu kama hili linatosha kuchkulia mkopo bank,,tena si chini ya milioni 50,,,
ntkutafuta weekend ijayo tukamshushe mikono yule jamaa baunsa wa kwenye nyagi,
Kwani ukimuona baba wa jirani yako akiwa anatembea uchi leo itakuwa imefuta aibu ya baba yako kutembea uchi juzi?
 
Forum statistics

Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom