Jana kwenye WWDC 2026 Apple wamezindua iOS 27, macOS 27 Golden Gate, iPadOS 27, na watchOS 27.
iOS 27 itakua supported na simu zote kuanzia iPhone 11 kuja juu.
iPadOS 27 itakubali kwenye iPad...
Kuna aina nyingi za simu , baadhi zinafanya vizuri sokoni na nyingine hazifanyi vizuri na zikiwa na sababu tofauti . Makala hii itaangazia aina za simu zenye matatizo makubwa ambapo sikushauri...
Mwaka 2014 wakati bwana Zuckerbeg anainunua whatsapp kwa dola za kimarekani 19 B watu waliona kama ni uharibifu wa pesa. Haikuwa clear ni kwa namna gani hii app ya kuchat itaweza kuingiza pesa...
Wakuu kwema ninauza gaming laptop yangu ina speci hizi
Core i7 gen 9
ram 16
hp pavilion
gtx 1650
vram 4gb
ssd 256 ssd sata tb 1
core i7 gen 9
battery 1hours
windows 11
bei 680k serious...
Habari wakuu,,hopefully mko poa..Mimi aysee naomba mnisaidie kitu kimoja wataalamu wa Tech..Nimekuwa Nikinunua Earphones lakini baada ya muda kidogo tu zinaanza kupoteza ufanisi wake..Mfano...
SOMO LA LEO ♌️: JINSI YA KUFUNGUA SIMU ULIYOSAHAU PASSWORD KWA KUTUMIA KOMPYUTA 💻📱
Kama umesahau password yako (Pattern, PIN, Fingerprint) usikimbilie Kariakoo unaweza kuweka sawa mwenyewe kwa...
Mimi ni mtumiaji wa Azam tv lakin wakat wa mchana napata ujumbe wa No signal na usiku mambo yanakaa sawa nimejaribu kufanya Auto scanning,manual scanning,factory reset lakin bado tatizo haliishi...
Mimi nimetumia AliExpress muda kidogo umepita, mwaka 2025 nilitumia mara moja tu, tena pale mwanzoni, juzi hapa naingia nahitaji kuagiza kitu nakuta mauza uza.
Shipping method ni moja tu, "Free...
kuna vifaa au shughuli za mitandaoni zinahitaji mb chache sana, mfano gps ya gari inahitaji mb 60 tu kwa mwezi, kusoma emails maybe mb 80 tu kama hakuna attachments, kuna vingamuzi navyo...
Wakuu Salaam
Sorry hivii mitandao ya simu inawajibika vp kumlinda mtumiaji wao dhidi ya wezi au matapeli wa kimtandao?
Kwa sababu kwangu me naona kuamini kwamba wote wanaotapeliwa hutapeliwa kwa...
Huu wakati ambao asilimia kubwa ya vitu tunategemea simu aidha kama njia ya mawasiliano, wengine simu ndio ofisi yaani wanatumia kuingizia kipato au wengine kama vifaa vya kujiburudisha kwa...
Sijui ni mimi tu mafundi niliowahi kutana nao au lah. Kama kule Kariakoo. Mitaa kama Aggrey na Uhuru zina mafundi simu wengi ila wengi kama siyo wote ni miyeyusho. Mikoani huko ndo kabisa.
1...
Wakuu naomba mnisaidie ushauri nataka kununua TV inch 55 ya kudumu nayo muda mrefu.
Sasa kati ya
LG Oled android processor vs Samsung Neo Qled android processor.
Ipi itanifaa zaidi na reasons...
Habari,
Naomba tusaidiwe kufikisha ujumbe huu kuhusu huduma ya mtandao wa Airtel. Kwa sasa tuna siku ya tatu hatupati huduma ya intaneti kabisa, lakini kila tunapowasiliana na huduma kwa wateja...
Meta Imeweka Mkazo Zaidi Kwenye Huduma za Kulipia (Subscriptions)
Siku ya Jumatano, kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ilitangaza kuwa inazindua rasmi huduma zake za kulipia kwa watumiaji...