Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, mwenye moderm ya Halotel ambayo ipo kwenye hali nzuri anijulishe mara moja.
Kwa Wale walioserious wanicheki Inbox.
Habari zenu wakubwa kwa wadogo!!juzi kati niliomba ufafanuzi wa hili jambo katika jukwaa halisi ya hii mada lakin sikupata ufumbuzi leo naona bora nililete huku munisaidie kuhusu hili jambo la...
Habari wana Jukwaa...
Nina mdogo wangu anaishi Kibaha, natafuta mtu au fundi atakayeweza mfundisha Ku repair na Ku flash simu sina mbalimbali.
Naomba uni pm please.
Aliye maeneo ya Kibaha au...
We all have pet peeves. Some are rational, others may appear irrational to others. I am not sure where this registry trick falls into, but shortcut arrows on the desktop drive me crazy. There is...
Wadau msaada simu yangu samsung s3 haipandish kabisa 3G na setting zote zipo sawa network mode ipo LTE/GSM/WCDMA(AUTOMODE) ila inasoma E na nkijaribu kuweka Gsm only inakata kabisa haisom hata E...
Heshima mbele wakuu,
Majuz nimenunu vitu vifuatavyo kwa ajili ya zoezi zima la kuunga ili nipate channel za FTA:
1. Dish la Gulf Star HD Ready la ft 6
2. King'amuzi cha HD Box 500 S DVB -S2 MPEG...
itazame kwa umakini halafu share jibu lako.
designed by me after being inspired by a certain logo of an international tv channel.
any creative oriented question/opinion?.karibu tushirikishane,
Nimeshawahi kusoma maelezo mengi kuhusu kinachofanya ndege kuelea angani. Lakini nimekuwa nikijiuliza maswali yafuatayo:
-Kipi hufanya ndege kutembea chini wakati hakuna 'shaft' inayozungusha...
ommytech.com inakupatia huduma ya hosting kwenye website yako pia kununua domain kwa bei rahisi kabisa kma utahitaji wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0752292473 karibun
Habari,
Mtandao maarufu wa kijamii WhatsApp wenye watumiaji zaidi Ya bilioni moja Dunia umeanzisha huduma ya mawasiliano ya video call kwa watumiaji wa smartphone za Android, ios na Windows...
Laptop yangu nikichomeka waya wa chaji Ile indicator ya chaji inawaka nakuzima na chaji haingii, tatizo hili limeanza muda sio mrefu ilikuwa inachaji vizuri nashindwa kuelewa tatizo litakuwa...
Picha : Burj khalifa - Dubai #supermoon #burjkhalifa
Mwezi mkubwa zaidi umeonekana leo sehemu mbalimbali Duniani baada ya kuisogelea dunia.
Mwezi huu umeonekana mara ya mwisho mwaka 1948...
restricted access changed. Data service is blocked
hii notification inazingua ina block simu haziingii wala msg hata kuwasha data pia inagoma, natumia htc one m8 kwa anayejua namna ya kusolve hii...
Mi nimeshindwa kuhielewa hii cm kwani hata nikizima data lkn chaji inaisha haraka,na nikizima data inaandika 3G.Ni nini tatizo setting au kuna kitu kinasababisha?msaada wenu wadau.