Mkuu kwani ukitumia vpn bando lako alitumiki au#kitongandohabari#Inaonekana unatumia VPN. Jaribu kutumia bundle la kawaida bila VPN then rudi. Itakubali. Mimi inatokaaga occasionally, ninafanya hivyo.
-callmeGhost
Sema wanona location tofauti, so wanadoubt kama ni robot or something.Mkuu kwani ukitumia vpn bando lako alitumiki au#kitongandohabari#
Sijui unatimia simu gani ila nenda kwenye apps. Tafuta playstore, clear cache na clear data then force stop it. Jaribu kufungua tena.Mkuu nime uninstall VPN lakini bado imekataa
NB: Natumia Custom ROM