Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Heshima mbele wakuu,
Majuz nimenunu vitu vifuatavyo kwa ajili ya zoezi zima la kuunga ili nipate channel za FTA:
1. Dish la Gulf Star HD Ready la ft 6
2. King'amuzi cha HD Box 500 S DVB -S2 MPEG 4
3. Gulf Star LNB single cable solution
4. Satellite finder
5. Cable ya 35 meter
Nilichofanya:
Nimeunga king'amuzi (receiver kwenye TV, na cable kuja kwenye satellite finder na kutoka kwenye satellite finder kwenda kwenye dish.
Nimejaribu ku tune dish na kupata mlio unaoonyesha satellite imepatika.
Changamoto:
Pamoja na kuwa mlio unaonyesha satellite imepatikana, nikienda kwenye receiver na kuscan satellite zote natoka patumu.. hakuna hata channel moja inayopatikana.
Nisaidieni walio na uzoefu. Wapi nakosea???
Shukran in advance