Msaada wa masuala ya internet

Fino da Final

Member
Jun 3, 2013
66
30
Wadau msaada simu yangu samsung s3 haipandish kabisa 3G na setting zote zipo sawa network mode ipo LTE/GSM/WCDMA(AUTOMODE) ila inasoma E na nkijaribu kuweka Gsm only inakata kabisa haisom hata E inakata kabisa nimeireset stil tatizo n hilo hilo nifanyeje wadau msaada pliz
 
Simu yako ni model ipi??
 
Je unatumia mtandao gani?Sim card yako ina uwezo wa 4G? Umeshawahi kuitumia nje ya hapo bado haisomi 3G na pia ushawahi tumia mtandao mwingine zaidi ya huo unautumia sasa? tafadhali jibu tunaweza kukusaidia
 
ni sim card ya kawaida 4G huku haijafika nimetumia line voda airtel na halotel zote tatizo linakua hivyo hivyo
 
Je unatumia mtandao gani?Sim card yako ina uwezo wa 4G? Umeshawahi kuitumia nje ya hapo bado haisomi 3G na pia ushawahi tumia mtandao mwingine zaidi ya huo unautumia sasa? tafadhali jibu tunaweza kukusaidia
Natumia voda mkuu
 
Toka nimeipata ndugu
Izime kabisa. Hold buttons km ifuatavyo ikiwa imezma
.home button + volume down then press power
Then itakuletea download mode hapo na utaachia hzo key zote
Then utapress volume up mara moja tu
Itakuja odin mode na ntaomba unisomee hyo product name yake.
 
View attachment 434700
upload_2016-11-16_6-58-48.png
 
Simu yako ina masafa yanayotumiwa na Vodacom kwenye 3G voda hutumia B(2100)ila haina uwezo wa 4G kama ulivyo ainisha...nimekutana na mtu mwenye simu ya Samsung ikieleza kuwa ina 4G ila kwa hakika haikuwa nayo, simu nyingi zimeanza kuchezewa na si halisi tuwe waangalifu.
 
Izime kabisa. Hold buttons km ifuatavyo ikiwa imezma
.home button + volume down then press power
Then itakuletea download mode hapo na utaachia hzo key zote
Then utapress volume up mara moja tu
Itakuja odin mode na ntaomba unisomee hyo product name yake.
Mkuu nshukur kwa ushaur nlifanya ulivyonielekeza ila hakuna kilichokea baada ya kubonyeza kufuata maelekezo
 
Tafadhali tuambie ni s3 ya model gan. Mana hilo tatizo ni common kwenye zile s3 za korea code ya shv-e210l/k

Nenga settings--device--- about phone
Tujibu kwanza
 
Wadau msaada simu yangu samsung s3 haipandish kabisa 3G na setting zote zipo sawa network mode ipo LTE/GSM/WCDMA(AUTOMODE) ila inasoma E na nkijaribu kuweka Gsm only inakata kabisa haisom hata E inakata kabisa nimeireset stil tatizo n hilo hilo nifanyeje wadau msaada pliz
Toa hapo kwenye auto mode ya hizo gsm/wcdma weka kwenye WCDMA only pia hakikisha eneo ulilopo 3g ipo kwa mtandao mtandao uloweka lain.ikikataapandisha 3g kwenye APN
 
Back
Top Bottom