Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu? Naomba link za kuweza kupakua app ya screenshoot kwenye simu yangu ya nokia e5(symbian). Kuna kipindi cha nyuma niliweka simu ikakorofisha ikaflashia kwahiyo na ile app...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Naombeni msaada wa jinsi ya kubadili IP address ya PC yangu.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari? Kwa wale wapenzi wa gadgets... Nawaletea used Nintendo 3ds XL Tsh 250,000 0787 408180... Posta Mpya, karibuni sana..
0 Reactions
0 Replies
625 Views
nataka kuweka kioo cheupe kwenye iphone nyeusi
0 Reactions
3 Replies
961 Views
Wakuu PC yangu amechezea mtoto Sasa kila nikiweka password inagoma ila hajabadilisha password, bado password ni ileile ya mwanzo ila nikiweka inajibu hivi The Group Client service failed the...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau nina simu tajwa hapo juu ambayo ni Sony experia c6903, kila nikiweka sim card haisomi wala internet network naombeni msaada. Nimeifanyia factory reset lakini bado.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyumbani creative ni kampuni yenye team iliyojitosheleza katika kupokea mawazo yako ya mfumo taarifa (data system) wa kazi zako na kuziweka katika mfumo wa programu za kompyuta (software)...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
WAKUU, nahitaji muongozo wa kujifunza mambo ya Networking nijue tu basics ,Kwa wale wabobezi je nianze na kipi mimi ni mgeni kabisa japo Nina ufahamu kiasi Fulani wa computer
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wadu mwenye game fifa 2016 or 2017 kw jili ya pes 3 nahitaji
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Msaada jaman hivi kuna program ya kuflash cm kwa kutumia pc? Na vele vile kuna app naweza naweza Download ili niflash Sim yangu?
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Habar zenu wana Jf Naomba msaada kuwa: vipi naweza kuanzisha upya(reset) akaunti yngu ya facebook? Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Nahitaji ku-unlock modem ya huawei e3372h-153. Anayejua anisaidie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba muanze kulinda website yenu. Nimewaonesha milango kadhaa ambayo mtu anaweza itumia kuingia , inatumia teknolojia ya zamani sana hiyo version ya joomla ni ya muda sana fanyeni ku upgrade...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ICT na Teknolojia nchini Marekani imeajiri watu wengi sana na inawalipa vizuri mno kuliko sekta nyingine, hebu cheki hii Makala hapa Tehama! Jawabu lililosahaulika katika swali la ukosefu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kuelekezwa jinsi ya kuangalia mpira live kwa pc.
0 Reactions
2 Replies
858 Views
kwa nini mafuta ya taa hayatumiki kama fuel katika gari?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Published: 14 October 2016 ID: G00317560 Analyst(s): David W. Cearley | Mike J. Walker | Brian Burke Order Reprints You may request paper or digital reprints on the ensuing order form. Summary...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba msaada wa ku update GBwhatsapp nashindwa maan mda wote inaniletea Mesej upgrade Lakin nikibonyeza kuruhusu ku apgrade nashindwa naambiwa ni download kwa kutumie cloud download Niki click...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau natafuta mtaalam wakuweza kuunlock iphone 6. 0655461460
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…