Nataka Kujifunza Mambo ya Networking

Nataka Kujifunza Mambo ya Networking

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
252
Reaction score
423
WAKUU, nahitaji muongozo wa kujifunza mambo ya Networking nijue tu basics ,Kwa wale wabobezi je nianze na kipi mimi ni mgeni kabisa japo Nina ufahamu kiasi Fulani wa computer
 
Back
Top Bottom