Msaada kwenye PC tafadhali

Msaada kwenye PC tafadhali

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,320
Reaction score
18,599
Wakuu PC yangu amechezea mtoto
Sasa kila nikiweka password inagoma ila hajabadilisha password, bado password ni ileile ya mwanzo ila nikiweka inajibu hivi
The Group Client service failed the logon
Access is denied
Natumia windows 7 ultimate
 
group-policy-failed-logon.png


uki press ok inakuandikiaje
 
Dah tatizo naambiwa nilog in kwa kutumia a working administrator account sasa hiyo account ntaipata wapi wakati hata kulogin siwez mkuu
 
Mkuu restart PC yako kisha kuna log in option zitatokea chagua log in safe mode with networking
 
Mkuu restart PC yako kisha kuna log in option zitatokea chagua log in safe mode with networking
Shukran mkuu nimefanikiwa Ila kwa option ya kuweka new windows but drivers za audio zimepotea hapa niko kwenye kibarua cha kuzitafta
 
Back
Top Bottom