TUNABADILI MAWAZO YAKO KUWA SOFTWARE.

DalaliOnline

Member
Jun 5, 2016
19
7
Nyumbani creative ni kampuni yenye team iliyojitosheleza katika kupokea mawazo yako ya mfumo taarifa (data system) wa kazi zako na kuziweka katika mfumo wa programu za kompyuta (software).

Walengwa wakubwa katika kazi zetu ni wale wanao tumia mfumo wa makaratasi katika kuhifadhi data.
Lakini pia wapo wanaotumia mifumo ya programu ambazo sio rafiki katika usimamizi wa taarifa na kutoa ripoti. Hii hupelekea kazi/biashara kuwa katika hali ya ugumu linapokuja suala la taarifa za kifedha na mwenendo wa kazi.

Programu tutakayo kutengenezea itaendana moja kwa moja na mfumo wako wa kazi/biashara, na hili ndio lengo letu.

Kwa mfumo wa programu tutakayo kutengenezea, utaweza kupata urahisi zaidi katika kupokea ripoti na mipangilio ya tarifa hizo kwa ubora, pia utapata urahisi katika ufanyaji wa hesabu ngumu kila siku katika biashara yako.

Katika kutekeleza kazi zetu, tuna utaratibu wa kuwatembelea wateja wetu na kupata taarifa sahihi za mifumo yao ya zamani katika uchakatiji wa kazi na uhifadhi wake.
Kupitia hatua hiyo team ya Nyumbani Creative hukaa na kubuni suluhisho la tatizo lako katika njia za kisasa zaidi, na kukuletea mfumo bora kabisa wa programu ya kompyuta utakayoweza kurahisisha, kuchakata na kuhifadhi taarifa (data) zako.

Katika kumjali mteja, programu zetu za kompyuta tunazifanyia majaribio ya kutosha na pia kumfundisha mteja matumizi ya programu hiyo, na pia tunasimamia ubora na kuifanyia matengenezo hadi mteja atakapo ridhika na huduma aliyopata.

Kubuni ni tabia yetu.
Karibu sana tulijenge taifa la kisasa linalotumia mifumo bora ya taarifa kwa programu za kompyuta kwa bei nzuri.........

Tunapatikana kupitia number zifuatazo.

+255719 260 701
+255655 110 389
+255717 716 003
+255754 527 010

Email: info@nyumbanicreative.com
Nyumbanicreative@gmail.com
 

Attachments

  • nyumbani.jpg
    nyumbani.jpg
    21.3 KB · Views: 40
onesha hata baadhi ya kazi ambazo mmekwisha zifanya au ndio mnaanza? hamna hata website looh!
 
Back
Top Bottom