Tehama jawabu la ajira lililosahaulika...

unazungumzia marekani kumbe ukuaji wa ajira tanzania ni mdogo sana
 
Hahahahha na kwenye ict na tehama pia mnataka serikali uwape vijana ajira? Founders wa Facebook, Microsoft, Facebook, MySpace, PayPal, Google, YouTube na apps zinazouzwa sana playstore Nova launcher, titanium backup etc. Walioentengeneza vitu hivi chuoni wengine majumbani mwao. Nyie kama creativity & innovation 0, Team work "kujiunga madevelopers tofauti na mfanye kitu" 0.. Unakaa na kutafuta mchawi wako wakati ni wewe mwenyewe. Labda ingekuja kwenye matatizo ya kupokea malipo toka nje ndio ungelaumu.

Na hizi comparison nyingine nazo Marekani vs Tanzania kweli??. watu walioendelea miaka zaidi ya 500 mbele kuliko. Atleast ungesema Kenya au Nigeria Ict sector kwa nini hawa watu ambao at least kidogo wako kwenye level yetu wana endelea lakini sisi tuna legalega.
 
Back
Top Bottom