Mfano land rover 109 ukiweka mafuta ya taa inawaka na inatembea,ila itakua na miss za kufa mtu na gari itakua inatoa moshi mweupekwa nini mafuta ya taa hayatumiki kama fuel katika gari?
Diesel inalipuka?Mafuta ya taa yanawaka hayalipuki ili gari lifanye kazi linahitaji kitu kinacholipuka (kujua tofauti ya kuwaka na kulipuka mwaga petrol kidogo na m/taa kidogo piga kiberiti utagundua penye petrol eneo liliwaka pamoja hali kwenye m/taa moto ulianzia pale ulipoweka njiti ukaenea taratibu) hata mdau aliyesema yanaendesha l/rover hayawezi peke yake mpaka yachanganywe na petrol
Yes inalipuka ila si kwa mfumo wa cheche kama kwenye engine za petrol kinachofanyika hewa inakandamizwa hadi inapata joto la 400C kisha diesel inamwagwa ikiwa katika hali ya mvuke mlipuko unatokeaDiesel inalipuka?
Unajua kama diesel inatumika kupikia kwenye majiko ya mafuta?
Kama jambo hujui ni busara kukaa kimya
Yes inalipuka ila si kwa mfumo wa cheche kama kwenye engine za petrol kinachofanyika hewa inakandamizwa hadi inapata joto la 400C kisha diesel inamwagwa ikiwa katika hali ya mvuke mlipuko unatokea
Mazingira tayari yapo kwenye magari yote ya diesel lkn ukiweka m/taa hakuna mlipuko utakaotokea ndio maana wachakachuzi wa diesel wanachanganya na m/taa kwa uwiano wa 1:10 na bado gari inamiss ukizidisha haiwaki kabisaSasa nani kakwambia mafuta ya taa yakipewa mazingira hayo hailipuki?