Wataalam wa simu pitia hapa


soskeneth

soskeneth

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Messages
575
Likes
220
Points
60
Age
26
soskeneth

soskeneth

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2016
575 220 60
Naomba msaada wa ku update GBwhatsapp nashindwa maan mda wote inaniletea Mesej upgrade Lakin nikibonyeza kuruhusu ku apgrade nashindwa naambiwa ni download kwa kutumie cloud download Niki click haionesh wap inadownload
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
17,224
Likes
32,502
Points
280
Age
76
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
17,224 32,502 280
Njooni mjibu na mimi niibie hapa majibu.
 
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
108,363
Likes
307,027
Points
280
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
108,363 307,027 280
tupo wengi cc kcamp
 
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Messages
8,974
Likes
14,932
Points
280
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2015
8,974 14,932 280
Badilisha browser
 
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Messages
13,125
Likes
6,663
Points
280
Age
29
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2011
13,125 6,663 280
tafuta last version yake kama imegoma kuwa updated
 
elixer of life

elixer of life

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Messages
604
Likes
557
Points
180
elixer of life

elixer of life

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2016
604 557 180
Naomba msaada wa ku update GBwhatsapp nashindwa maan mda wote inaniletea Mesej upgrade Lakin nikibonyeza kuruhusu ku apgrade nashindwa naambiwa ni download kwa kutumie cloud download Niki click haionesh wap inadownload
huyu jamaa anatumia uc browser inabidi ufanye kuingia Google alafu download gbwhatsapp downloder kisha ynyw itakupeka mpaka unapotakiwa kufika
 
July Fourth

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
2,276
Likes
549
Points
280
July Fourth

July Fourth

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
2,276 549 280
》Bonyeza update now..
Itakupeleka kwene hii link
برنامج GBWhatsApp & WhatsApp+ 5.15 – GBMods

》Shusha chini hadi kwene neno download. Kuwa makini. Mengine ni matangazo
(Yenyewe ni nyeusi)

》Ukibonyeza itakupeleka hapa

》Bonyeza download imepigwa mstari.
》Link itakupeleka mediafire. Bonyeza download ya kijani


》Uninstall ile ilokuwepo weka hiyo.
》Cheers.
 
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
108,363
Likes
307,027
Points
280
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
108,363 307,027 280
》Bonyeza update now..
Itakupeleka kwene hii link
برنامج GBWhatsApp & WhatsApp+ 5.15 – GBMods

》Shusha chini hadi kwene neno download. Kuwa makini. Mengine ni matangazo
(Yenyewe ni nyeusi)

》Ukibonyeza itakupeleka hapa

》Bonyeza download imepigwa mstari.
》Link itakupeleka mediafire. Bonyeza download ya kijani


》Uninstall ile ilokuwepo weka hiyo.
》Cheers.
ubarikiwe kaka mana nilikua nabonyeza download ya mwanzo ilipokua inanipeleka inajua mwnywe
 

Forum statistics

Threads 1,274,531
Members 490,721
Posts 30,515,493