Kwa wale wataalamu wa mambo yetu ya GRAPHICS nimefanya installation ya ADOBE PHOTOSHOP both CS5 AND CS6 lakini sioni ile option ya 3D. Nimejaribu kutafuta solution nakakutana na application ambayo...
Wana jf natumia simu aiana ya Samsung galaxy ji tatizo lake ni kwamba nikitumia mitandao ya kijamii kama instagram,simu inaandika kwamba storage imejaa hata kama kukiwa na memory na hali hiyo...
Black holes are the source of endless fascination and speculation. Do they hold the secrets of the universe and perhaps even the key to time travel itself?
We may never know the answers to...
Habari bandugu.
Nina simu ya kutoka msumbiji aina ya Movitel ukiweka laini za Tanzania hazifanyi kazi.
Ninatumia laini za Vodacom Tanzania wala haisomi,msaada wana-IT.
Habari wadau,
Nimekuja hapa kupost my experience with a fraud web developer na kama kuwapa caution wengine.
Kuna watu wanajifanya ma web developer lakini ukimpa kazi anaanza mizungusho. Kuna...
Kwa ufupi mimi na-deal software za simu sana sana kuflash simu kwa hiyo nina uzoefu mkubwa, nipo pale Kariakoo kwa hiyo ningependa kusikia swali lolote toka kwenu wadau.
==========
Hizi ni sababu...
Nahitaji kufanya shipping ya Parcel(spare parts ya simu. screen display+ battery) kutoka texas usa kuja bongo kwa mwenye uzoefu. Ipi ni njia rahisi ama best shipping company ambayo naweza kutumia...
Heshima zenu wakuu. Tafadhari naomba wajuzi wa teknolijia hii mnisaidie kujua ubora na bei ya smartphones zifuatazo. Najipanga kupata mojawapo baada ya kupata ushauri wenu maana sijawahi kumiliki...
Source: Techradar.
Nokia is back. The Finnish brand is once again adorning smartphones and at MWC 2017 it took to the stage to reveal its first three devices: Nokia 6, Nokia 5 and Nokia 3.
All...
Habari wakuu,
Naomba yeyote mwenye computer yenye GPU tuwasiliane anisaidie kuna software natumia lakini sina GPU kwenye laptop yangu kwa hiyo sipati results nzuri kwa kutumia CPU peke yake. Kama...
*CAMERAMAN WA ENZI HIZO....* [emoji57][emoji57]
Makamera man walikuwa majeuri
kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii
Kamera ina likamba fulani jeusi
inaning'inizwa shingoni.....
Kameraman ana...
Nina simu yangu tecno c5 tatizo pale nikitaka kutumia camera katika whatsapp au instagram au app yoyote ambayo naweza kutumia camera inaandika camera is denied restart your phone.
Msaada, nifanyeje?