Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamii, naomba kujuzwa ni app gan nmazitumia kudownload tvseries na kuangalia kupitia kupitia app store... alaf nawezaje kupata vshare free bila kulipia ??
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Wakuu natafuta adapters za game zifuatazo .. Xbox one adapter moja Xbox 360 kinect adapters mbili Pia natafuta pads 2 za xbox one Pads 4 za ps 3 Pads 2 Xbox 360 kinect Mwenye kujua pakuzipata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu.. naombeni msaada. Simu yangu TECHNO8 haionyeshi ile alama ya simu inayotumikia kupigia simu. Nimeitafuta kwenye secreen sehemu mbalimbali siioni kabisa..Naombeni msaada nifanyeje ili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu..... Laptop yangu inanizingua kwenye upande wa network nimeweka modem imeconect vzr ila nikiingia kwenye Internet naambiwa no Internet connection tatizo litakua wapi? Sent...
0 Reactions
8 Replies
939 Views
Nokia’s downfall fires Finland to top of clean energy tech
1 Reactions
0 Replies
664 Views
Tangu simu yangu w3lte niiflash Imekuwa ikisumbua network haipandi Naomba Msaada wenu Wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ndugu jamaa na marafiki natumaini ni wazima wa afya. Kama mtaalamu wa maswaala ya cybersecurity ningependa tupeane elimu kuhusiana na maswala ya ulinzi katika mtandao(cybersecurity) ambayo ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa. Mwenye uelewa wa nini chakufanya anisaidie jamani Napiga simu nayeye anapata taarifa yote Msg zangu anauwezo wa kuzisoma na kujibu yeye zote za kawaida na whatsapp pia...
3 Reactions
99 Replies
23K Views
Wadau habari za majukumu. Ninatumia modem ya Huawei mobile broadband E173 katika window 10. Nikiweka modem window inatoa alert ya kuashiria kuna new divice. Lakini kidogo tena inatoa alert ya ku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tatizo la subtitles kuchelewa kidogo au kuwahi naomba msaada katika hili tatizo natumia PC Natumia MPC-HC player kuplay hizi movies. Je kunauwezekana wa kuspeed hizi subtitles au kuslow ili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kusaidiwa namna ninavyoweza kufanya ujasiriamali kwa kutengeneza jukwaa la taaluma yangu ambalo nitakuwa naposti material, madesa yangu na tafiti mbalimbali pamoja na huduma ya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Umewezesha two-step verification kwenye account yako jamii forums au mtandao wowote? kama bado, wezesha sasa. Ni muhimu sana!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari za leo mwenye kujua hiki kifaa kinaitwaje na ni sh ngap? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Wadau naomba kuuliza bei ya hiyo kitu hapo na wapi nitaipata?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
712 Views
Habar zenu wapendwa. Naombeni msaada wenu, 1. Simu inatumia Non-removable battery, ikijitahidi kukaa na charge n lisaa limoja je ninaweza kubadilisha battery? 2. Cover yake ni glass pande zote...
1 Reactions
4 Replies
983 Views
Habari. Naomba msaada wa wapi nitapata Flashing box (miracle) Au, ka unayo tuwasiliane kwa 0769015725 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wadau,naomba mwenye hii software iwe cracked au original anisaidie,asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Kwa wanaofahamu hivi vifaa, Nina kiasi tajwa hapo juu, lengo niende Kariakoo kununua Desktop Computer. Naomba kujuzwa, Naweza kuipata iliyokamilika kwa kiasi hicho?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani natafuta mfuniko wa nyuma wa screen ya laptop(back lid cover) ya hp notebook 15 pc
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…