Msaada haraka: Tecno L8 haionyeshi icon ya caller phone

Msaada haraka: Tecno L8 haionyeshi icon ya caller phone

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,953
Reaction score
7,002
Ndugu zangu.. naombeni msaada. Simu yangu TECHNO8 haionyeshi ile alama ya simu inayotumikia kupigia simu. Nimeitafuta kwenye secreen sehemu mbalimbali siioni kabisa..Naombeni msaada nifanyeje ili niirecove.

Asante

Incon ndio nini? Sisi wengine hatujatumia hizo brand

Ndugu zangu.. naombeni msaada. Simu yangu TECHNO8 haionyeshi ile alama ya simu inayotumikia kupigia simu. Nimeitafuta kwenye secreen sehemu mbalimbali siioni kabisa..Naombeni msaada nifanyeje ili niirecove.

Asante
TECHNO8-ndio maana haionyeshi hiyo alama...

Download nyingine kwenye browser. Andika dialer au hi dieler.

Naamini mumemuelewa mtamsaidia ukishindwa format sim yako mkuu

0753620446 nipigie kk... Au unipe contact zako nikuchek nashida ya muhimu saana

L8 nenda Posta Samora pale Tecno wanakutengenezea bure kabisa mi nilisahau pattern ilibidi niende huwezi ku hard reset kwa sababu inatumia Android 5.1 ......ila nenda na risiti mimi walichaji 5000 kwa sababu Ilikua fault yangu.

Ndugu zangu kama mada inavyojieleza hapo juu, jana nimenunua simu ya TECNO L8 Lite.

Lkn kwa uharaka niliokuwa nao nikasahu kuuliza namna ya kufungua mfuniko wa nyuma kwa ajiri ya kuweka line.

Najua hapa wataalamu mpo simu imenishinda kufungua kabisa, naombeni ujuzi huo
0ff4249d22c6e38186f3d4d681487778.jpg

Pole . kuu jitahid inafunguka ila usitoe battery, battery zake in inbuilt na ni permanent hazitokagi, mimi mwenyewe natumia hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Back
Top Bottom