Nifahamisheni kifaa cha kuunganisha kwenye computer ifanye kazi kama Tv

Pia kuna tv box.

Sio android tv box lakin. Kuna kifa kinaingiza RCA cable kinatoa VGA cable. Kinapatikana around tsh 30000
 
Wakuu wapi ntapata working converter ya VGA to HDMI cable kuna ambayo niliuziwa k/koo zimekuwa hazifanyi Nazi msaada please...cc chief-mkwawa
 
kuna cable na kuna converter (adapter),

cable unakuwa ni waya tu upande HDMI na upande vga wakati converter inakuwa na kama kibox hivi kwenye end mojawapo au kwenye cable.

angalia hii picha.

416hjDZ4QXL._SY400_FMwebp_.jpg

naona hawa jamaa wanazo kwa 20,000. ni vyema ukaenda na kifaa cha kutestia

Peripherals – Epic Computers
 
Niliyonunua ni converter kama hiyo inayonekana hapo but imeshindwa kufanya kazi niliwahi kununua cable ndo kabisa ikashindikana nikambiwa mpaka niwe na converter na hii converter nilirudisha dukani nikabadilishiwa still ikagoma kufanya kazi
 
kuna converter kubwa zaidi niliiona KVD mjini nafkiri mtaa wa makunganya ila bei yake nayo imetulia 120,000.

unatumia kwenye kifaa gani?
 
Nataka nitumie kwenye CPU kupeleka kwenye Tv ambayo INA port ya HDMI tuu
Nunua hardware inaitwa graphic cards, au vga cards. Most of them huwa zina port ya vga,hdmi na dvi. Unchagua tu utumie ports ipi.
Unaichomeka ndani ya cpu yako basi.
 
Okay thanks ila najaribu kuangalia njia ambayo itakuwa less expensive en efficiently....
 
Back
Top Bottom